Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Hospitali gani ulienda mkuu na gharama zake zikoje? vidonda vinanitesa sana mkuu.
Mm naishi tegeta nilienda pale Rabininsia memorial hospital. Ila kama kweli una ulcers we nunua heligo kit inauzwa kativya 35,000 hadi 42,000 7day dose
 
Mm naishi tegeta nilienda pale Rabininsia memorial hospital. Ila kama kweli una ulcers we nunua heligo kit inauzwa kativya 35,000 hadi 42,000 7day dose
Asante sana mkuu. Hiyo Rubininsia hospital iko maeneo gani jijini? Nataka nije nikatoe ushuhuda humu jf maana vidonde vimenitesa tangu mwaka 2000 hadi leo.
 
Acha kudanganya watu hiyo heligo kit hata mimi nimetumia, inatibu mdudu anayeitwa pylori ambaye husababisha vidonda vya tumbo. Kwa ufupi Heligo kit haitibu vidonda vya tumbi
 
Asante sana mkuu. Hiyo Rubininsia hospital iko maeneo gani jijini? Nataka nije nikatoe ushuhuda humu jf maana vidonde vimenitesa tangu mwaka 2000 hadi leo.
Km 3 kutoka Tegeta kuelekea bunju, unaweza kushuka Kibo complex
 
Madaktari wa hospitalini wanakatisha tamaa wagonjwa. Unakuta sayansi yao imegonga mwamba wanakuambia hakuna dawa ya kukutibu hata za mimea, ila ukikutana na wataalamu wa dawa asilia wanakutibu na unapona.
 
[QUOTE="tpaul, post: 17710225, member: 90kutibuu mjasiriamali mdogo hebu rudia tena kusoma ulichandika.[/QUOTE]
Hiyo heligo kit nimetumia box 2 kwa wiki 2 mfululizo baada ya kugundulika nina mdudu anaitwa helicobacter pylori ambaye nae ni chanzo cha vidonda vya tumbo ingawa kipimo cha endoscopy O.G.D kilionesha sina vidonda.
Vidonda vinatokana na sababu nyingi.
Nakumbuka niliambiwa nisile baadhi ya vyakula ambavyo vinasababisha gas au acid kama chungwa,nanasi,nyanya,maharage,embe mbichi n.k
Matibabu haya nilifanyia muhimbili.
 
Hakuna mtu hata mmoja aliyethibika na vidonda vya tumbo akapona matibabu ya hospital.
Sanasana utapewa masharti ya vyakula tu.
Suluhisho ni tiba mbadala
 
Habari ndugu wana bodi!!!

Najua hili huenda litakuwa lilishawahi kuulizwa hapa lakini na mimi na penda kuuliza maana nimegundulika kuwa na hili tatizo, nimepewa dawa ya kutumia inaitwa HERIGO na nimeaza kuitumia.

Kinachonipa wasiwasi ni kuwa watu wengi nilioongea nao wenye hili tatizo wanadai wametumia dawa nyingi lakini hawajapona na nyingi ni kwa ajili ya kupooza tu maumivu.

Sasa naomba kwa wataalamu wa haya mambo mtujuze kuna dawa inayotibu kabisa? Na kama ipo ndio hiyo niliyopewa au ni nyingine? Na kama ni nyingine inaitwaje?
 
Hii kitu ni changamoto sana, wapo watu wengi huwa wanasema kuwa wanaijua dawa lakini ukinunua na kuitumia tatizo bado linabaki palepale. Na wangi wao ni matepeli watupu.
 
Hii kitu ni changamoto sana, wapo watu wengi huwa wanasema kuwa wanaijua dawa lakini ukinunua na kuitumia tatizo bado linabaki palepale. Na wangi wao ni matepeli watupu.
Mkuu acha tu huu ugonjwa umenitesa sana, na umeniletea madhara mengine makubwa ukiacha tumbo lenyewe kuuma
 
Luna majani yaitwa msongwa haya mm no shuhuda yamewaponya Rafiki zangu wawili.unatakiwa kuyatwanga na kuyaloweka kisha update maji Lita tatu uzitumie kwa Sikh tatu majibu in ndani ya siku saba.uyatoe tika kwenye ardhi yenye ubaridi huku mbeya tuliyatoa rungwe
 
Hii kitu naona haina dawa yenye uhakika bali kutuliza maumivu. Nimeumwa zaid ya miaka kumi nimetumia dawa za hosp na mitishamba wala sijapona. Labda aliyepona kweli atusaidie dawa na sisi
 
Luna majani yaitwa msongwa haya mm no shuhuda yamewaponya Rafiki zangu wawili.unatakiwa kuyatwanga na kuyaloweka kisha update maji Lita tatu uzitumie kwa Sikh tatu majibu in ndani ya siku saba.uyatoe tika kwenye ardhi yenye ubaridi huku mbeya tuliyatoa rungwe
Mkuu naomba nije pm pia niko mbeya
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom