mysara2011
Member
- Sep 28, 2017
- 69
- 84
Jamani naomba mnisaidie dawa ya vidonda kwenye lipsi nimetumia dawa ya vitamin B complex na pia nilikunywa multi vitamin ila bado haviponi.Na kama kupima nimepima mpaka HIV wiki mbili zilizopita na nikaonekana salama ila ndo hivyo vidonda haviniishi.