Dawa ya UKOKO (fumigation), TPRI nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya UKOKO (fumigation), TPRI nisaidieni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MIGNON, Jan 19, 2012.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Naomba Tropical Pesticides Research Institute(TPRI) Mnisaidie. Nimekuwa nikitumia dawa ya kupuliza ndani ya nyumba kwa ajili ya kuwaua mbu kwa muda mrefu.

  Mwanzoni nilikuwa natumia ICON (jina la kibiashara) ambayo mwishowe ilikuwa inapatikana ya kutoka Msumbiji ikiwa imeandikwa kireno.
  Mwaka jana nilitafuta ICON sikuipata ila nikashauriwa kutumia REVIVAL amabayo nayo ina maelezo ya kireno tu.

  Cha kushangaza ni kuwa wakati natumia ICON nilikuwa nakaa kipindi kirefu lakini hii REVIVAL hata wiki haiishi unaanza kuwaona mbu wakiruka ndani.
  Pamoja na TPRI lakini nita appreciate maelezo kutoka kwa mtu yoyote kuhusu suala hili na ikiwa kuna dawa ingine bora zaidi
   
 2. B

  Barasu JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2014
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 1,160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  MIGNON Ni-inbox nikutumie namba ya simu ya mhusika wa TPRI atakuelekeza vizuri.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. lyinga

  lyinga JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2014
  Joined: Nov 18, 2013
  Messages: 2,503
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 0
  Hizo ni sumu usitumie kwa muda mrefu ndugu usijedhurika .
   
Loading...