Dawa ya Ngozi (Inatibu kwa siku 7 tu)

Joined
Jan 22, 2013
Messages
21
Likes
53
Points
15

dative dogo

Member
Joined Jan 22, 2013
21 53 15
Dawa hii inaitwa Kibiriti Upele au Sulphur kwa kizungu, inatibu kabisa magonjwa yote ya Ngozi kama Chunusi, Tetekuwanga, upele,mba, miwasho mbalimbali na mengine mengi. Unachotakiwa kufanya ni kuchanganya dawa hii na mafuta ya kupaka na utajipaka kutwa mara tatu kwa siku 7, kwa uwezo wa Mungu ugonjwa unaokusumbua utakuwa umepona kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,203,551
Members 456,815
Posts 28,118,191