Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Habari wandugu,
Jamani jana kuanzia jioni jioni nilianza kujisikia muwasho kwenye ngozi, na ilipofika usiku it got worse nikikuna inatoka uvimbe uvimbe nikachukua baby powder nikajipaka kwenye muwasho baadae muwasho ukaisha nikapata usingizi (Not sure kama ilisaidia nadhani iliisha tu yenyewe) na leo nipo job my legs are still itching.
Najaribu haraka haraka kuangalia chanzo sioni chochote kwa karibu labda tu last weekend (sunday)niliogelea kwenye swimming pool. Je hiki kinaweza kuwa chanzo na possibilities ni nini hapa ? wengine wamenishauri nijaribu calamine lotion je itasaidia?
Plz help