Dawa ya mpenzi asiyekupenda hii

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,375
13,321
Alekhum waungwana ! dawa nayoileta kwenu ni hii si ya kienyeji ni ya kucheza na principles of love flow.ni hali ya kuhuzunisha unapoishi na mpenzi amabaye unajua kuna siku atakuacha aidha uhusiano wenu unabebwa na sababu kama pesa ,shule e.t.c mfanyie haya
-zungumza naye mambo ya future ya iwapo mtaacha na mfano unaweza mpa zawadi halafu unamwambia nimeona nkununulie ili iwapo kwa
bahati mbaya tukaja achana uwe na cha kuni kumbukia ,au ukasema iwapo siku tukiachana niahidi utakuwa careful na utaemchagua kunilith
- Jenga ukaribu na ndugu ampendae mfanye too close to youkuzidi hata yeye
-unaweza mwambia umeota usiku sura yake inakujia ukiigusa inageuka nyoka , au umemuona bibi yako aliefariki
anasema mwanamke ulienaye ni mwema ila hakupendi .
-kuwa na confidence naye mfano unaweza muuliza kama anaenda club halafu unamwita rafiki unaemwamini aende naye na usimpigie simu whole
night msimuulizie kabisaaa .
-hakikisha unakuwa na vitu atavyokukumbuka mda wote mfano simu uwe umenunua wewe ,cheni pete na hususan leso .
-Akikufanyia kosa kubwa ambalo ugundue linamuuma (guilt) jifanye kuchukuli poa kabisaa ,akikuuliza kwanini mwambie ntakwambia baada ya wiki hata akomae ,halafu mwambie nilikasirika nikawaza nauhakika gani unanipenda kiasi nachokupenda mimi nikawaza tutapo achana ntakuwa sina maamuz nawe tena pia uskute huu uhusiano si unanipenda bali unanihurumia ,

hii ni part ya kitabu changu ukurasa wa 13 kiitwacho "USHINDI KWENYE MAPENZIi" kimetumia psychological and successful experiences .
 
dawa ya mpenzi asiekupenda ni kuachana nae tu, yaani mtu unajua kabisa hakupendi then unaendelea nae eti dawa hamna dawa bwana acha kudanganya watu hicho kitabu chako ni uzushi .watu wanaishi kwa experience sio theory. tena hicho kitabu kiite kushindwa kwenye mapenzi .mia
 
dawa ya mpenzi asiekupenda ni kuachana nae tu, yaani mtu unajua kabisa hakupendi then unaendelea nae eti dawa hamna dawa bwana acha kudanganya watu hicho kitabu chako ni uzushi .watu wanaishi kwa experience sio theory.mia

Taratibu bebii punguza hasira.
 
Big up joh!,
i lyk ur status,.
Kitabu nitakipataje?,
i also hav some techniques dat can help manx Men out there, nataka niongeze knowledge..
 
kama mtu hakupendi bwana hata umpe zawad hatakupenda , vinginevyo atakuja kukusaliti huyo hapo baadae uanze kulia buuuure
 
mkuu,ndo tricks unazotumia kwenye maisha halisi ama? kuambiana uongo kunaweza kumkimbiza mpenzi. mfano mie mtu akiongea habari za msg za watu waliokwishakufa huwa sikubaliani nae kabisaa. na unabii wa uongo ni dhambi ujue!
 
Kuna midem mingine haielewi, hamna haja ya kulazimisha penzi.

Kama alivyosema Bebii, ni kweli. Watu wanaishi kwa experience na sio theory..
 
story tu hizi akifanya hivi anaweza pata matatizo mengi sana ni bora kuachana mapema ili kila mmoja ajue la kufanya na wala sio kudanganyana
 
Time is money! Yanini kupoteza muda na mtu ambaye hakupendi?<br />
&quot; No money No honey&quot; siku hizi.
 
Time is money! Yanini kupoteza muda na mtu ambaye hakupendi?<br />
" No money No honey" siku hizi
 
Mbona mnanichanganya?mara dawa mara sio dawa whch is whch?ngoja na mimi nije na dawa yangu just soon....,.,
 
lol! dawa pekee ni kumpotezea. act kama hauko interested uone atakavyohangaika na wewe. si unajua zile zetu za 'lets be friends first', lmao!
Mbona mnanichanganya?mara dawa mara sio dawa whch is whch?ngoja na mimi nije na dawa yangu just soon....,.,
<br />
<br />
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom