Dawa ya mchwa ktk majani ya ukoka

dimple

Member
Dec 6, 2016
95
119
Jamani naombeni msaada nimepanda majani ya ukoka nyumbani kwangu ili niwe na bustani nzuri inayovutia na ukijani mzuri majani niliyopanda ni yale madogo madogo ambayo hayaendi juu yanakua kama zuria hivi sasa changamoto ni mchwa yalikua yanapauka kama yanataka kukauka tunaita mvi na maji tunamwagilia ndo kumwita mtu wa bustani akaniambia ni mchwa so nipulizie dawa aina ya gradietor "sina hakika na spelling" sasa nikapulizia nikakaa kama wiki nikaweka mbolea ya chumvi chumvi basi nikawa namwagilia maji ikarudia kupendeza ikawa kijani sasa changamoto ni kua kila baada ya miez 2-3 nipulizie dawa la sivyo inakua kama haina mvuto inapauka na kukauka sasa nitumie nini ili kutokomeza hawa mchwa kabisa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom