Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Pole sana ndugu
Nulishawahi kupata tatizo kama lako 8 years ago. Sikumbuki kichonitibu maana expert wa ngozi mwenyew alichoka. Utapona tu keep on searching. Kama unamwamini Mungu pia usali.
 
weka picha ya Movit tafadhali......mimi mwenyewe nikisuka braids napata mba sana..............

1382473001883.jpg
cc tpaul Amavubi
Hayo mimi yamenisaidia sana kwani mara ya kwanza kugundua nina mba ilikuwa 1999 wamenisumbua hadi mwaka baada ya kubadilisha mafuta ya kupaka kichwani na kuanza kupaka MOVT.
Hilo kopo dogo huwa nanunua tsh1000 tu. Sasa hata nina amani kabla ya hapo nilkuwa naona aibu kwenda saloon kunyoa.

Shukrani zangu zimwendee dada mmoja mmiliki wa saloon ya kiume dar, ndio alienishauri hayo mafuta

hayo hapo Preta
 
Last edited by a moderator:
View attachment 117852
cc tpaul Amavubi
Hayo mimi yamenisaidia sana kwani mara ya kwanza kugundua nina mba ilikuwa 1999 wamenisumbua hadi mwaka baada ya kubadilisha mafuta ya kupaka kichwani na kuanza kupaka MOVT.
Hilo kopo dogo huwa nanunua tsh1000 tu. Sasa hata nina amani kabla ya hapo nilkuwa naona aibu kwenda saloon kunyoa.

Shukrani zangu zimwendee dada mmoja mmiliki wa saloon ya kiume dar, ndio alienishauri hayo mafut

Asante sana mkuu, ngoja nikayafuatilie hayo mafuta. Hope I will get well soon. Thanks.
 
Last edited by a moderator:
hahaaaa mkuu jaribu hayo movt... binafsi baada ya kuanza kutumia sina tena MBA

Kweli hii movit imeonesha ndio tiba ya Mba sugu ya kichwa. Naanza kuamini nimeteseka kama mtoa mada.

Kuna movit ya njano kutoka Uganda ina sulphur, hakuna kitu pale Utapata harufu tu.

Ni pm namba ya huyo dada wa saloon aliyeshauri hii Dawa nimtumie hata BUKU kwa kweli.
 
kuwa na imani utapona na amini kile unachokiona utapona au nenda kwa watumishi wa Mungu wakikuombe utapona kwani umeshatumia madawa mengi hujafanikiwa ukiamini na kukiri uzima na wokovu kuingia maishani mwako utapona tu kila kheri bestito tpaul,
 
asanteni, leo nimeingia chaka kdg niliuliza movt nikapewa sabuni, kumbe ni mafuta...nitayatafuta
 
Ukiona hyo dawa uliyoelekezwa nayo inadunda,tumia mafuta ya nazi yanayoitwa
'MINARA',yanapatikana ktk maduka ya kawaida,yamenisaidia sana na mimi nilikuwa kama wewe mkuu,sasa hv nikinyoa kichwa ni kisafiiii,yanauzwa buku tu
 
tpaul,
Badili vinyoleo au saloon unayonyolea pia vifaa vya bafuni kama chana, vikopo vya sabuni, na vikorokoro vingine tupa; hao wadudu watakuwa wapo maeneo hayo hata dawa ikianza kuuwa wanaingia wapya utadunda mpaka utajiachia ila siku ukihamishiwa mkoa mwingine utajiona ghafla unapona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom