tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,810
- 18,241
Pole sana mkuu. Kupotea njia ndio kujua njia.asanteni, leo nimeingia chaka kdg niliuliza movt nikapewa sabuni, kumbe ni mafuta...nitayatafuta
Pole sana mkuu. Kupotea njia ndio kujua njia.asanteni, leo nimeingia chaka kdg niliuliza movt nikapewa sabuni, kumbe ni mafuta...nitayatafuta
Mkuu diproson ni mkorogo...nimepaka umedunda.Pole sana ndugu yangu tumia diproson jipake kichwa kizima muda wa wiki tatu utanijulisha
mkuu mafuta ya breki nilipaka hadi nikawa nanuka harufu ya gari lakini wapi!Mafuta ya breki ni kiboko
yanapatikana wapi mkuu? unaweza ukatupa picha yake? kuna mafuta ya sulphur yapo kwenye lichupa fulani hivi nilipaka hadi yakadunda. ukiyapaka mafuta yale kisha ukaoga kichwa unahisi kinakuwa kikavuuu...si ndio hayo mkuu?Mafuta ya sulphur 8 yanatibu kabisa
Brother tatizo bongo hatuna dawa. Kuna shampoo iliyosaidia watu wengi duniani inaitwa Nizoral a-d. Ni nzuri Sana ILA Tanzania haipatikaniyanapatikana wapi mkuu? unaweza ukatupa picha yake? kuna mafuta ya sulphur yapo kwenye lichupa fulani hivi nilipaka hadi yakadunda. ukiyapaka mafuta yale kisha ukaoga kichwa unahisi kinakuwa kikavuuu...si ndio hayo mkuu?
Hii lazima niifanyeNakushauri unyoe nywele zako kwa wembe(zungu) bila kujikata na ujipake maji ya betri SULPHURIC ACID,(kiasi kidogo, tumia kidole na kifuniko cha plastik kuhifadadhia) ambayo hayajatumika na usugue kidogo, subiri baada ya dk 3 na uoshe kwa sabuni ya shampoo pekee. utawashwa lakin vumilia! LINDA MACHO, PUA, MDOMO NA MASIKIO YASIGUSWE NA ACID.
ZOA ZOA ndio sabuni gani?Ogea sabuni ya zoazoa kichwani week tu mba kwisha habari yake
Itafute madukani utapata mi ilinitibu siwezi kuisema vibaayZOA ZOA ndio sabuni gani?
Hii sabuni naona tangazo lake EATV na wanaisifia kweliOgea sabuni ya zoazoa kichwani week tu mba kwisha habari yake