Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Habarini wanajami.. Naandika thread hii kuomba ushauri ili nitatutue tatizo la mba kichwani. Nina mba mwingi sana ila huwa hauwashi ukiwasha ni kidogo sana. Nategemea kupata ushauri humu coz naamini kuna wataalamu ama waliofanikiwa kutatua jambo kama langu. Thanks in advance n God bless you!
Dawa ya kukutibu mba kichwani ninayo ukiweza nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

 
Habarini wanajami.

Naandika thread hii kuomba ushauri ili nitatutue tatizo la mba kichwani. Nina mba mwingi sana ila huwa hauwashi ukiwasha ni kidogo sana. Nategemea kupata ushauri humu coz naamini kuna wataalamu ama waliofanikiwa kutatua jambo kama langu.

Thanks in advance n God bless you!
Waone S&E BEAUTY SOLUTIONS upone Mba ndani ya wiki moja tu.
0659528724
 
Mtoa mada vipi maendeleo yakoje? Ulipona? Kwa dawa gani, na ilichukua muda gani?
mkuu nimepak movit wee hola...naona hili tatizo langu ni sugu kwa kuwa limenitesa tangu mwaka 1988. bado natafuta dawa tena safari hii hali imekuwa mbaya zaidi.
 
Piga sindano mkuu watakauka wote,baada pendelea kuogea ant dandruff shampoo ambayo uua fungus na bacteria
mkuu, nimeogea shampoo za aina zote (ikiwemo ketoconazole) kwa muda wa miaka 3 hadi nimeamua kuacha...tena nikipaka shampoo naona ndio tatizo linakuwa kubwa.
 
Piga sindano mkuu watakauka wote,baada pendelea kuogea ant dandruff shampoo ambayo uua fungus na bacteria
sindano gani mkuu? nakumbuka niliwahi kwenda kule St Bernard Hospital wakanipiga sindano ya salicylic acid lakini hola.
 
Kama unatembea juani au unafanya kazi juani ndo mana nguzi inababuka .
Paka mafuta ya nywele ngozi ya kichwa iwe wet.
 
mkuu nimepak movit wee hola...naona hili tatizo langu ni sugu kwa kuwa limenitesa tangu mwaka 1988. bado natafuta dawa tena safari hii hali imekuwa mbaya zaidi.
tumia radiant mkuu week mba haujaisha basi tena huna bahati
radiant mafuta na virgin cream
 
Jamn wana jamii ,naombeni ushauri wenu tafadhali,yaani nina mdgo wangu anasumbuliwa na mba sana kichwani,anasuka ,na kabla ya kusuka anaosha nywele na shampoo,anapaka mafuta,lakn wki haikatik anajikuna mba analalamka anawashwa sana,naomben ushaur mafuta gani yanaondoa mba,kashtumia sulphur, na diplozon,lakni bado
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom