Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,111
Dawa ya kukutibu mba kichwani ninayo ukiweza nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabarini wanajami.. Naandika thread hii kuomba ushauri ili nitatutue tatizo la mba kichwani. Nina mba mwingi sana ila huwa hauwashi ukiwasha ni kidogo sana. Nategemea kupata ushauri humu coz naamini kuna wataalamu ama waliofanikiwa kutatua jambo kama langu. Thanks in advance n God bless you!