Dawa ya mba sugu za kichwani (Dandruff)

tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
Ndugu wana JF,

Nimekuwa nikisumbuliwa na mba (dandruff) za kichwani (scalp) kwa muda mrefu sasa na nimetumia dawa kila aina bila mafanikio. Nilianza kwa kupaka mafuta ya Whitefield lakini sikuona mabadiliko. Kisha nikameza vidonge aina ya grasiofulvin bado sikuona ahueni yoyote. Baadaye nikashauriwa kumeza vidonge aina ya ketoconazole, baada ya kushauriwa na daktari kwamba hivi vidonge ni vikali kuliko grasiofulvin nilivyotumia mwanzo. Bado tatizo liliendelea kuwepo, tena safari hii likazidi kuwa sugu zaidi—hata ukiwa mbali ukinitazama kichwani utadhani nimepaka unga—hii ni kwa sababu ya ukoko wa mba unaochomoza kutoka kwenye ngozi ya kichwa (scalp).

Baada ya kuona tatizo limezidi ikabidi nimuone daktari wa magonjwa ya ngozi, ambapo huyu daktari alinitengenezea dawa kali kwa kuchanganya alcohol na dawa fulani ya mba. Sambamba na hii dawa aliniandikia dawa ya ketoconazole shampoo ambayo niliipaka kwa muda usiopungua mwaka mmoja. Nilitumia hadi dawa ikasiha laki bado tatizo liko palepale.

Hivi karibuni nimerudi tena hospitali daktari akaniandikia vidonge. Nilipogundua kwamba vidonge alivyoniandikia ni glusiofulvin (vidonge ambavyo vilishindwa kunitibu awali), nilivitupa vidonge hivyo jalalani. Sasa hivi nanyoa nywele kila baada ya wiki moja, tofauti na awali ambavyo nilikuwa nanyoa kila baada ya wiki mbili. Hii hali imenichanganya sana. Sijui nifanyeje. Niliwahi kwenda hadi hospitali ya St Benard kule Kariakoo nikachomwa dawa yenye mchangayiko wa salicylic acid lakini sikupata ahueni yoyote.

Wandugu, naomba mnisaidie. Anayefahamu tatizo hili naweza kuliondoaje au daktari anayeweza kulitibu naomba anielekeze. Natanguliza shukrani.
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
18,093
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
18,093 2,000
mkuu hilo tatizo nami limenisumbua tangu utoto lakini ghafla mwaka huu nimepona tafuta mafuta ya kupaka kichwani yanaitwa MOVT mimi ndio yamemaliza tatizo langu.
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
mkuu hilo tatizo nami limenisumbua tangu utoto lakini ghafla mwaka huu nimepona tafuta mafuta ya kupaka kichwani yanaitwa MOVT mimi ndio yamemaliza tatizo langu.
Nashukuru sana ndugu yangu. Ngoja niyatafute hayo mafuta nipake- Nimeteseka sana tangu mwaka 1988 nilipopata hili tatizo--hadi nilishauriwa kupaka mikorogo nikapaka lakini wapi. Ngoja niijaribu MOVT. Thank u very much.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,114
Points
2,000
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,114 2,000
mkuu hilo tatizo nami limenisumbua tangu utoto lakini ghafla mwaka huu nimepona tafuta mafuta ya kupaka kichwani yanaitwa MOVT mimi ndio yamemaliza tatizo langu.
hata mm nitayataka hayo, yanapatikana wapi>
 
Sista

Sista

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2013
Messages
3,208
Points
1,250
Sista

Sista

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2013
3,208 1,250
Ni kweli mafuta hayo ni mazuri kwa mba tena yanauzwa buku tatu au nne hivi. ila inabidi utumie muda wote ngozi iwe wet na anayekupalka asiwe mvivu
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
18,093
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
18,093 2,000
hata mm nitayataka hayo, yanapatikana wapi>
Wewe nenda kwenye madukA ya yavipodozi utayapata ni ya blue na yana picha ya msichAna badae kidogo nitakuwekea picha
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,194
Points
2,000
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,194 2,000
Wewe nenda kwenye madukA ya yavipodozi utayapata ni ya blue na yana picha ya msichAna badae kidogo nitakuwekea picha
weka picha ya Movit tafadhali......mimi mwenyewe nikisuka braids napata mba sana..............
 
Medical Dictionary

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
1,052
Points
1,195
Medical Dictionary

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2012
1,052 1,195
Tafuta mafuta ya sulphur mkuu,yanatibu mba..
yapo kwenye kopo la njano nadhani yatakusaidia.
 
paul milya

paul milya

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
285
Points
195
paul milya

paul milya

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
285 195
MziziMkavu,, lane hebu kujeni kwa huku membe wenzetu wanataabika please!
 
Last edited by a moderator:
amkawewe

amkawewe

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Messages
2,027
Points
1,195
amkawewe

amkawewe

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2011
2,027 1,195
Pole sana ndugu
Nulishawahi kupata tatizo kama lako 8 years ago. Sikumbuki kichonitibu maana expert wa ngozi mwenyew alichoka. Utapona tu keep on searching. Kama unamwamini Mungu pia usali.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,208
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,208 2,000
Ndugu wana JF,

Nimekuwa nikisumbuliwa na mba (dandruff) za kichwani (scalp) kwa muda mrefu sasa na nimetumia dawa kila aina bila mafanikio. Nilianza kwa kupaka mafuta ya Whitefield lakini sikuona mabadiliko. Kisha nikameza vidonge aina ya grasiofulvin bado sikuona ahueni yoyote. Baadaye nikashauriwa kumeza vidonge aina ya ketokenazole, baada ya kushauriwa na daktari kwamba hivi vidonge ni vikali kuliko grasiofulvin nilivyotumia mwanzo. Bado tatizo liliendelea kuwepo, tena safari hii likazidi kuwa sugu zaidi—hata ukiwa mbali ukinitazama kichwani utadhani nimepaka unga—hii ni kwa sababu ya ukoko wa mba unaochomoza kutoka kwenye ngozi ya kichwa (scalp).

Baada ya kuona tatizo limezidi ikabidi nimuone daktari wa magonjwa ya ngozi, ambapo huyu daktari alinitengenezea dawa kali kwa kuchanganya alcohol na dawa fulani ya mba. Sambamba na hii dawa aliniandikia dawa ya ketakonazole shampoo ambayo niliipaka kwa muda usiopungua mwaka mmoja. Nilitumia hadi dawa ikasiha laki bado tatizo liko palepale.

Hivi karibuni nimerudi tena hospitali daktari akaniandikia vidonge. Nilipogundua kwamba vidonge alivyoniandikia ni glusiofulvin (vidonge ambavyo vilishindwa kunitibu awali), nilivitupa vidonge hivyo jalalani. Sasa hivi nanyoa nywele kila baada ya wiki moja, tofauti na awali ambavyo nilikuwa nanyoa kila baada ya wiki mbili. Hii hali imenichanganya sana. Sijui nifanyeje. Niliwahi kwenda hadi hospitali ya St Benard kule Kariakoo nikachomwa dawa yenye mchangayiko wa salicylic acid lakini sikupata ahueni yoyote.

Wandugu, naomba mnisaidie. Anyefahamu tatizo hili naweza kuliondoaje au daktari anayeweza kulitibu naomba anielekeze. Natanguliza shukrani.
Maradhi ya Mba Hutokana na ngozi iliyokufa katika kichwa yaani dead cell.
dawa zilizopo ni :

Ndimu au limau: Kabla kwenda kukoga jisugue limau ndani ya kichwa na baadae yale maganda ya limau yatie katika maji ya kukoga yaani yawe maji ya Uvuguvugu halafu ukoshe kwa maji yale kwanza na baadae utumie maji yaliyo safi.

Fenugreek kwa kiswahili inaitwa (Uwatu) lakini imekaa kama rangi yake ni ya brown imekaa kama Vijiwe jiwe vidogodogo kama kuna Hii Uwatuunachukua vijiko 2 vya chai vya fenugreek unazirowesha katika maji usiku

mzima ili zipate kulainika, halafu unaziponda ponda na baadae unapakaa ndani ya kichwa na uwache kwa muda wa saa moja na baadae kuzikosha ikiwa utafanya hivi siku zote mbaa wataondoka Inshallah bila taabu yoyote.tumia moja ya hizo Dawa kisha uje hapa utupe Feedback.@
tpaul


Fenugreek Uwatu.MziziMkavu,, lane hebu kujeni kwa huku membe wenzetu wanataabika please!
Hujambo lakin paul milya?
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
18,093
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
18,093 2,000
weka picha ya Movit tafadhali......mimi mwenyewe nikisuka braids napata mba sana..............
1382473001883.jpg
cc tpaul Amavubi
Hayo mimi yamenisaidia sana kwani mara ya kwanza kugundua nina mba ilikuwa 1999 wamenisumbua hadi mwaka baada ya kubadilisha mafuta ya kupaka kichwani na kuanza kupaka MOVT.
Hilo kopo dogo huwa nanunua tsh1000 tu. Sasa hata nina amani kabla ya hapo nilkuwa naona aibu kwenda saloon kunyoa.

Shukrani zangu zimwendee dada mmoja mmiliki wa saloon ya kiume dar, ndio alienishauri hayo mafuta

hayo hapo Preta
 
Last edited by a moderator:
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
5,809
Points
2,000
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
5,809 2,000
Asante muanzisha mada kwa kuibua hoja hii, maana hata mimi nina tatizo hili...
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,585
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,585 2,000
View attachment 117852
cc tpaul Amavubi
Hayo mimi yamenisaidia sana kwani mara ya kwanza kugundua nina mba ilikuwa 1999 wamenisumbua hadi mwaka baada ya kubadilisha mafuta ya kupaka kichwani na kuanza kupaka MOVT.
Hilo kopo dogo huwa nanunua tsh1000 tu. Sasa hata nina amani kabla ya hapo nilkuwa naona aibu kwenda saloon kunyoa.

Shukrani zangu zimwendee dada mmoja mmiliki wa saloon ya kiume dar, ndio alienishauri hayo mafut
Asante sana mkuu, ngoja nikayafuatilie hayo mafuta. Hope I will get well soon. Thanks.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,325,453
Members 509,127
Posts 32,193,014
Top