Natafuta dawa ya mapele kichwani na kwenye ndevu

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,016
2,592
Habari za jioni wapendwa nasumbuliwa na mapele kichwani na kwenye ndevu,hivyo nilikuwa naulizia kama kuna mtu mwenye ufahamu wa dawa nzuri ambayo inaweza saidia.
 
Habari za jioni wapendwa nasumbuliwa na mapele kichwani na kwenye ndevu,hivyo nilikuwa naulizia kama kuna mtu mwenye ufahamu wa dawa nzuri ambayo inaweza saidia.
1563701376706567031923.jpg
 
Naungana na wadau hapo juu pakaa Castor oil..na hakikisha wapakaa hayo Mafuta kila utokapo kunyoa
 
Habari za jioni wapendwa nasumbuliwa na mapele kichwani na kwenye ndevu,hivyo nilikuwa naulizia kama kuna mtu mwenye ufahamu wa dawa nzuri ambayo inaweza saidia.

habari,
jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo ya chunusi,mapele na hata magonjwa ya ngozi ya muda mrefu,husaidia kuiacha ngozi katika hali ya ukavu unaopendeza na kuondoa mafuta mengi usoni.
nauza sabuni moja kwa elfu 2 tu na pia kwa wale wa jumla nauza kwa box moja shilingi elfu 60. tunapatikana dar es salaam ilala pia tunafanya delivery ndani na nje ya dar es salaam karibuni sana
0659756647
IMG_1362.JPG
 
chukua majivu, changamya na kitunguu swaumu, ponda mchanganyiko kisha changanya na pilipili hoho.
Baada ya hapo changanya na asali ya nyuki wakubwa
Chukua ndizi roast, kula kisha pata glasi ya maji pumzika. Mapele ni kama kitovu, huwezi ng’oa kiboya
 
Back
Top Bottom