Dawa ya mapele kichwani na kwenye ndevu

kalovha

kalovha

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
268
Points
250
kalovha

kalovha

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
268 250
Habari za jioni wapendwa nasumbuliwa na mapele kichwani na kwenye ndevu,hivyo nilikuwa naulizia kama kuna mtu mwenye ufahamu wa dawa nzuri ambayo inaweza saidia.
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
8,576
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
8,576 2,000
Huwa unatumia mashine gani kunyolea?
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
5,453
Points
2,000
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
5,453 2,000
Kanunue mafuta ya Castro oil tumia utanikumbuka kwa ushauri wangu huu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Qurie

Qurie

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
2,444
Points
2,000
Qurie

Qurie

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
2,444 2,000
Kanunue mafuta ya Castro oil tumia utanikumbuka kwa ushauri wangu huu.


Ndukiiiii
Tena Kama ataweza atafute Yale ambayo hayaja chakachuliwa.... Yaan hayajapita kiwandani aende maduka ya dawa za asili
 

Forum statistics

Threads 1,307,092
Members 502,332
Posts 31,601,348
Top