Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hiyo ndiyo ingekuwa game changer hapa TanZania kama tunataka kurudisha fedha zetu ktk kwa mafisadi kama Lowasa &Co. ni kodi ya majengo tu (Property tax) yaani TRA wanakuja wanapiga gharama yote ya nyumba au mali na kusema unalipia asilimia fulani kulingana na thamani ya nyumba/jengo, na siyo kama ilivyo sasa mtu ana jengo la milioni 200 anaambiwa kulipa 50 000 kwa mwaka, hapo ndipo tutakapo wapata lkn hili la kuwapeleka Mahakamani ni ngumu kuwafunga kwa maana nawo siyo wajinga!
Fikiria hayo maghorofa ya Wahindi yote Upanga, Masaki na kwingineko tutachukuwa shilingi ngapi? Maeneo kama quality center au Mlimani city au majengo yote ya mashirika, kama PPF, NSSF &Co. tutakula ngapi? wote wanapigiwa hesabu thamani ya jengo lote na kupewa bili labda utaratibu unakuwa 2- 5% ya thamani ya nyumba/jengo unalipa kila mwaka kama kodi TRA halafu hiyo fedha inawekezwa kwenye Miundo mbinu ya mji wetu nina hakika tutapata DART Dar nzima tena ya bila Deni au kuwekezwa maeneo mengine yenye umuhimu zaidi!