Dawa ya kusafisha tumbo

Tafuta Vidonge vinaitwa Bisacodyl yani faster tu...!! Castor oil nayo ipo poa sema inaleta kichefu chefu sana pia Effect yake ni nomaaa yanii kuhara sio kuharaaa balaaa


Castor oil changanya na yogurt yenye uchachu kama passion then kunywa
 
Salaam wakuu,

Hivi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo/ kusababisha kuharisha? Jirani yangu ameniomba nimshauri lkn nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe magnesium ila sina hakika kama zinasaidia. Masaada tafadhali. Nia anataka dawa itakayomsaidia kuharisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimeona matatizo 2.
1. Kusafisha tumbo: Chukua/tafuta zile mbegu za mlonge. Zisage au zitafune punje 4/5 hivi. Hakikisha siku hiyo Uko nyumbani.
2. Kupata choo kwa shida/choo kigumu: Tumia papai kila siku utapata choo kilaini. Aidha chai mchaichai pia inasaidia ktk tatizo la choo kigumu
 
Back
Top Bottom