Dawa ya kupunguza nguvu

pcman

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
742
186
Baada ya kuonekana kwamba kuna dawa nyingi za kuongeza nguvu za kiume, ninatafuta dawa ya kupunguzanguvu za kike.
 
Hazipo hizo mimi nilishaulizia sana ya kupunguza nguvu za kiume na sikuipata, labda Preta anaweza kukusaidia ukiweza kumpata..
 
Last edited by a moderator:
kwani KOJOLEO lako limepigwa roba na KOJOLEO lenzake mpaka utake kulipunguza nguvu???
 
Baada ya kuonekana kwamba kuna dawa nyingi za kuongeza nguvu za kiume, ninatafuta dawa ya kupunguzanguvu za kike.
Kuna mwanajf anaitwa Filipo akifika atakuelekeza pa kuipata!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom