Dawa ya kupiga chafya na weusi mapajani

mbongombishi

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
588
291
Habarini wandugu.

Naomba kujulishwa dawa ya alergy ya vumbi (kupiga chafya sana kutokana na vumbi au harufu kali) ni nini.

Pia dawa ya kuondoa weusi katikati ya mapaja (ukijikuna unatoka unga unga) ni nini?

Natanguliza shukurani wandugu.
 
Njia pekee ya kuzuia vumbi ni kutokaa karibu na vumbi ama tumia barakoa maeneo yenye vumbi.

Otherwise, lazima tu upige chafya, mwili unareact.

Pia jaribu kutumia nasal sprays,zinasaidia kwa kiasi kupunguza allergic reactions.
 
Imarisha usafi unakaa kwenye vumbi hence chafya, huogi vizuri na kupaka mafuta hence kujikuna
 
Back
Top Bottom