Dawa ya kuotesha nywele(kipara)

Attachments

  • Screenshot_20200211-104713_Instagram.jpg
    Screenshot_20200211-104713_Instagram.jpg
    92.9 KB · Views: 58
mimi natumia haya mafuta mazuri sana yaitwa

T444Z nilinunua zaidi ya alfu hamsOKni na saiv hata mwezi bado lakini naona mabadiliko kwa mbaali japo sio kivile ila naamini baada ya miezi mitatu kitaeleweka ..

yapo vizuri
Haya mafuta ni kweli kuna mtu namfahamu anatumia na yanasaidia sana.
 
Hayajasaidia.mimi sina kipara ila tu nyewele zangu kama zinafifia kwa pembeni.nimetua hayo naona hsta nywele hazijajaa.sasa kama zimeshindwa kuitibu kujaza nywele zitatibu wenye vipara..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana hata madawa hospitali yana options, pia huenda hayakukufaa wewe yeye yakamfaa si jambo la kutoa conclusion moja kwa moja, ila pia pole kama hayakukusaidia unaweza kupata yatakayokufaa.
 
Easy way! Nunua Johnsons baby oil na liquid VitE capsules. Tia mafuta kwenye kiganja changanya na 2 capsules za Vit E. Apply x2 kwa siku.
 
ndio maana hata madawa hospitali yana options, pia huenda hayakukufaa wewe yeye yakamfaa si jambo la kutoa conclusion moja kwa moja, ila pia pole kama hayakukusaidia unaweza kupata yatakayokufaa.
Mkuu Kuna alietumia unaemjua?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom