permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 10,025
- 11,217
Hii nayo naihitaji
Wajaribu hawa jamaa, katika pitapita zangu nmekutana naoKama kuna mtu anaijua basi naomba anifahamishe
Wanapatikana Lufungira dsm,uliyanunulia wapi?
Jaman had nimecheka kwa sautSugua uo upara wako na kitunguu maji
sawa kabisaDawa ya kipara ni KIPARA, nyoa para mzee baba
Kama kuna mtu anaijua basi naomba anifahamishe
Haya mafuta ni kweli kuna mtu namfahamu anatumia na yanasaidia sana.mimi natumia haya mafuta mazuri sana yaitwa
T444Z nilinunua zaidi ya alfu hamsOKni na saiv hata mwezi bado lakini naona mabadiliko kwa mbaali japo sio kivile ila naamini baada ya miezi mitatu kitaeleweka ..
yapo vizuri
Kapona hicho kipara sasahaya mafuta ni kweli kuna mtu namfahamu anatumia na yanasaidia sana.
Nywele zimeotaKapona hicho kipara sasa
haya mafuta ni kweli kuna mtu namfahamu anatumia na yanasaidia sana.
Hujaza nywele ni kweli labda uliwahi kutumia hayakukusaidia utuambie.
Hayajasaidia.mimi sina kipara ila tu nyewele zangu kama zinafifia kwa pembeni.nimetua hayo naona hsta nywele hazijajaa.sasa kama zimeshindwa kuitibu kujaza nywele zitatibu wenye vipara..?hujaza nywele ni kweli labda uliwahi kutumia hayakukusaidia utuambie.
Ndio maana hata madawa hospitali yana options, pia huenda hayakukufaa wewe yeye yakamfaa si jambo la kutoa conclusion moja kwa moja, ila pia pole kama hayakukusaidia unaweza kupata yatakayokufaa.Hayajasaidia.mimi sina kipara ila tu nyewele zangu kama zinafifia kwa pembeni.nimetua hayo naona hsta nywele hazijajaa.sasa kama zimeshindwa kuitibu kujaza nywele zitatibu wenye vipara..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kuna alietumia unaemjua?ndio maana hata madawa hospitali yana options, pia huenda hayakukufaa wewe yeye yakamfaa si jambo la kutoa conclusion moja kwa moja, ila pia pole kama hayakukusaidia unaweza kupata yatakayokufaa.
Kwa case ya kipara hapana, ispokuwa kujaza nywele tu za asili na zenye dawa (kwa wanawake).Mkuu Kuna alietumia unaemjua?