Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Main issue here is your food portions. Try to reduce them by half.
Hapo ndio shida,tumbo likishatanuka hutahisi kushiba mpaka lijae,na watu wenye vitambi wanakula bwaaaana...

Hawezi mwenye kitambi apunguze kule,atafanya vyoooote atashindwa hapo...labda afanyiwe op ya utumbo kama wema sepetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi hapa wanachanganyikiwa matokeo yake wanajiumiza na vitambi haviishi....

Je! Unajua kilichosababisha uwe na Kitambi...??? Hili swali ni la muhimu sana....

Kama kilichosababisha kuwa na kitambi ni kula kula hovyo....basi kula ndio kutasababisha kitambi kupungua kama si kuondoka kabisa...

Mazoze hayataondoa kitambi kama hutojua kilichosababisha wewe kuwa na Kitambi....

Mazoezi yana u-reshape mwili uonekane wa wa physic zaidi.....
 
Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeshindwa kila kitu tafuta trainer. Ila kitambi ni mtindo maisha unayoishi kuanzia chakula na uvivu.
 
Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..
Mchana huwa napata juice tu!.
Usiku nakula chakula kidogo lakini bado naona naumuka tu!.. unatusaidiaje?
Acha kula wanga kama mwezi hivi afu kila siku kimbia hata kilomita tatu lazma kiishe hicho..
Hapa usile ugali, wali, ndizi za kuiva, mikate mweupe, wewe kula protini na mboga za majani tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda YouTube search channel ya Dr Boaz Mkumbo MD utapata suluhisho
 
Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..
Mchana huwa napata juice tu!.
Usiku nakula chakula kidogo lakini bado naona naumuka tu!.. unatusaidiaje?
Rudi nyuma angalia picha yako ulivokuwa form IV au VI, je ulikuwa na kitambi?

Pale ndo ulikuwa unakula kwa kiasi,,

Hivi umeajiriwa au umejiajiri unakunywa tu misupu na minyama,,, bear, misoda, mijuice n.k

Kama umeoa mwanamke anataka uonekabe umenenepa ili ukienda ukweni/kwenu waseme "ndoa tamu ona umenenepa" mwanamke unakukaangia minyama, miyai n.k unategemea ubaki bila kitambi?

Ili kupungua inahitaji kujitoa ufahamu na kuacha kula ovyo ovyo,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata ratiba yangu hii

Asubuhi- chai+viazi vitamu, mihogo

Mchana- Ugali + mboga za majani,samaki,dagaa, n.k

Usiku- sahani ya matunda mix ndizi,tikiti,tango,nanasi,parachichi,n.k

NB, usiku sili chakula cha wanga,,

Matizi muhimu na jasho litoke,, ukiniona utadhani nina miaka 25,, kumbe niko above 30,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi nyuma angalia picha yako ulivokuwa form IV au VI, je ulikuwa na kitambi?

Pale ndo ulikuwa unakula kwa kiasi,,

Hivi umeajiriwa au umejiajiri unakunywa tu misupu na minyama,,, bear, misoda, mijuice n.k

Kama umeoa mwanamke anataka uonekabe umenenepa ili ukienda ukweni/kwenu waseme "ndoa tamu ona umenenepa" mwanamke unakukaangia minyama, miyai n.k unategemea ubaki bila kitambi?

Ili kupungua inahitaji kujitoa ufahamu na kuacha kula ovyo ovyo,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiajiri but sijaoa. Pombe situmii hivyo vingine kweli nilikuwa mtumiaji lakini baada ya kuona mabadiriko nikaacha. Muda mwingine huwa nafanya kunywa juice tu siku nzima lakini bado sirudi nilivyokuwa!!..
 
Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
1..Tumia miguu yako (tembea your way home2ofis2home)
2.. kunywa juice ndimu/limao bila kuweka sukari..
Thanks letee mrejesho !!
 
Back
Top Bottom