Hapo ndio shida,tumbo likishatanuka hutahisi kushiba mpaka lijae,na watu wenye vitambi wanakula bwaaaana...Main issue here is your food portions. Try to reduce them by half.
Kama umeshindwa kila kitu tafuta trainer. Ila kitambi ni mtindo maisha unayoishi kuanzia chakula na uvivu.Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..Main issue here is your food portions. Try to reduce them by half.
Acha kula wanga kama mwezi hivi afu kila siku kimbia hata kilomita tatu lazma kiishe hicho..Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..
Mchana huwa napata juice tu!.
Usiku nakula chakula kidogo lakini bado naona naumuka tu!.. unatusaidiaje?
Nenda YouTube search channel ya Dr Boaz Mkumbo MD utapata suluhishoWa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi nyuma angalia picha yako ulivokuwa form IV au VI, je ulikuwa na kitambi?Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..
Mchana huwa napata juice tu!.
Usiku nakula chakula kidogo lakini bado naona naumuka tu!.. unatusaidiaje?
Swali la kijinga lakini ntakuuliza tu vyakula vya protini ndio vipi!?..Acha kula wanga kama mwezi hivi afu kila siku kimbia hata kilomita tatu lazma kiishe hicho..
Hapa usile ugali, wali, ndizi za kuiva, mikate mweupe, wewe kula protini na mboga za majani tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata ratiba yangu hiiWa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiajiri but sijaoa. Pombe situmii hivyo vingine kweli nilikuwa mtumiaji lakini baada ya kuona mabadiriko nikaacha. Muda mwingine huwa nafanya kunywa juice tu siku nzima lakini bado sirudi nilivyokuwa!!..Rudi nyuma angalia picha yako ulivokuwa form IV au VI, je ulikuwa na kitambi?
Pale ndo ulikuwa unakula kwa kiasi,,
Hivi umeajiriwa au umejiajiri unakunywa tu misupu na minyama,,, bear, misoda, mijuice n.k
Kama umeoa mwanamke anataka uonekabe umenenepa ili ukienda ukweni/kwenu waseme "ndoa tamu ona umenenepa" mwanamke unakukaangia minyama, miyai n.k unategemea ubaki bila kitambi?
Ili kupungua inahitaji kujitoa ufahamu na kuacha kula ovyo ovyo,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuchukua mda, kwani toka uanze hiyo ratiba una mda gani sasa?Nimejiajiri but sijaoa. Pombe situmii hivyo vingine kweli nilikuwa mtumiaji lakini baada ya kuona mabadiriko nikaacha. Muda mwingine huwa nafanya kunywa juice tu siku nzima lakini bado sirudi nilivyokuwa!!..
HahahaKama kukopa huwezi nenda kaombe kibarua cha kukimbiza tofali kwenye kiwanda cha kufyatua tofali piga miezi 3 bila kukosa hata siku moja, halafu ulete mrejesho.
Usijinyime kula, ila kula vyakula vinavyowai kuyeyuka mapema,Asubuhi napata chai yenye limao na chapati moja au mikate slace 2 tu!..
Mchana huwa napata juice tu!.
Usiku nakula chakula kidogo lakini bado naona naumuka tu!.. unatusaidiaje?
Juice ya kiwandani? Kula matunda mkuuNimejiajiri but sijaoa. Pombe situmii hivyo vingine kweli nilikuwa mtumiaji lakini baada ya kuona mabadiriko nikaacha. Muda mwingine huwa nafanya kunywa juice tu siku nzima lakini bado sirudi nilivyokuwa!!..
1..Tumia miguu yako (tembea your way home2ofis2home)Wa ndugu habarini.
Kijana mwenzenu nasumbuliwa na kitambi kitu kinachonikosesha amani ya roho. Nimefanya jitihada zote ikiwa kujiunga na kufanya mazoezi kwa bidii zote lakini wapi.
Nimenunua kitairi kila asubuhi nikifanyie mazoezi lakini wapi.
Sasa nimekuja kuomba ushauri njia ipi nitumie ili kuondosha hichi kitambi.
Ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupunguza portion ujazo haitamsaidia, hapo ni aina ya chakula anachokula ndiyo what matters mostMain issue here is your food portions. Try to reduce them by half.