dawa ya kunenepa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dawa ya kunenepa

Discussion in 'JF Doctor' started by kingxvi, Sep 27, 2011.

 1. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jama me naulizia hiyo dawa ya kunenepa nashida nayo
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kula dozi ya tb au ARV
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  chomoa macho yako ayo ya kwenye avatar YAKAANGE THEN UCHANGAYE NA JUIC YA UKWAJU KUNYWA KWA WIKI MBILI wakat wa adhuhuri ukiwa umesimama kuelekea kaskazin..
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kula bila kufikiria..(hakikisha vyakila vingi ni "dairy Products" mfano cheese, cream,dip,white chocolate,etc)
  yap & plenty of fizzy drinks in top of that beers na usithubutu kusifanye mazoezi.... Good luck ..
   
 5. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  hahahahaha..........nini kuvunja mbavu za mwenzako asubuhi yote hii
   
 6. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanene wanahangaika kupungua.
  Wembamba wanausaka unene.
  Otis.
   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Du !! dada yangu kwa hii dozi yako lazima anenepe!
   
 8. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Usiwe na mawazo,kula mlo kamili hasa vyakula vya mafuta kwa sana, jipe mda wa kutosha kupumzika na kuwa mwenye furaha wakati wote na uwe na hela ya kutosha,unene utakuja mpaka utafurahi.
   
 9. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kitambiii...kitambiii...nilikuwa nakitamani, sasa leo nimekipata, naona kitambi noma!! Kamuulize Bambo atakuambia!

  Kula chipsi kwa wingi...asubuhi, mchana, jioni kama dozi! Na vitu vya mafuta mafuta...(can't believe nakupa ushauri huu, udaktari ndo ushanishinda hivyoo!)
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,493
  Trophy Points: 280
  wasiliana na bujibuji akupe fomula ya kisusio na lazima utachana mbaya.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kila alfajiri kabla hujala wala kupiga mswaki kunywa lita 3 za KISUSIO CHA MBWA
   
 12. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hahahaaa!!u made ma day
   
 13. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Kula bila kukoma,hakikisha umeshiba ndi,ondoa mawazo
   
 14. D

  Daady Member

  #14
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Nenda waone wachina!!!
   
 15. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Unataka unenepe Idara gani ya mwili?
   
 16. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  maana unaweza kujikuta umekua wa duara jikubali hivyo ilivyo na ukapoteza mvuto
   
 17. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jamani Dr.RIWA nataka nimfahamu alie kutunuku stashaada ya udoctor!! na mm anipe!!ila apunguze bei isiwe kama alivyokuuzia ww!!(siamini kama ni ww Dr.RIWA unaetoa huu ushauri )
   
 18. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kisusio cha mbwa!!! Hii safi sana
   
 19. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hee nime kimiss kisusio du na makongoro ya ng'ombe wa kufuga (in door)
   
 20. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa nini hutaki kuamini? Si mgonjwa anatafuta tiba jamani au..
   
Loading...