Dawa ya kumdhibiti mpenzi wako ni kumpa lovebite siku ya Valentine

Kama una mpenzi na unahisi ana wapenzi wengine dawa yake ni kama utakuwa nae siku ya Valentine mda wa kula tunda ukiwa na ule mzuka wa kuja unakamata shingo alafu ukija unapiga meno kwenye shingo a.k a lovebite.

Nakuhakikishia hizo meno shingoni zitakaa wiki nzima na kama ana wanaume wengine wataziona labda awakwepe wiki nzima.
Unampiga meno? Usije mng'ata mtoto wa watu mpk ukaua,khaa...

Love bite,unam-nyonya ngozi yake kama unaivuta kindani (kimahaba) aidha shingoni au shavuni mpk ile misuli mwembamba inalainika ambayo baadae mkiachana,inabadirika rang na kuwa nyekundu sana (kwa pisi nyeupe,lovebite ndio inakolea) .

Sasa mkulungwa unataka ung'ate na meno,acha kulinda kilicho kati kati ya mapaja yasiyo yako.

#Si-umtoe out tu.
 
Ndo dawa ya malaya
Duh,punguza ukali wa maneno mkuuu.

ACHANA NA LOVEBITE.#TUJIKINGE
Screenshot_20210211-130013.jpg
 
Utoto bwana!!
Sio utoto,ni stress za maisha,ahadi hewa za valentine,alaf trh inafika unashindwa kukubaliana na ukweli kuwa Kuna maisha baada ya 14/02 .

Ndio anamwaga stress zake hapa.

Haya ndio maisha halisi sasa ya awamu ya hii
 
Kama una mpenzi na unahisi ana wapenzi wengine dawa yake ni kama utakuwa nae siku ya Valentine mda wa kula tunda ukiwa na ule mzuka wa kuja unakamata shingo alafu ukija unapiga meno kwenye shingo a.k a lovebite.

Nakuhakikishia hizo meno shingoni zitakaa wiki nzima na kama ana wanaume wengine wataziona labda awakwepe wiki nzima.

Tunaodate na wanawake weusi inabidi tutumie meno ama plaizi
 
Kama una mpenzi na unahisi ana wapenzi wengine dawa yake ni kama utakuwa nae siku ya Valentine mda wa kula tunda ukiwa na ule mzuka wa kuja unakamata shingo alafu ukija unapiga meno kwenye shingo a.k a lovebite.

Nakuhakikishia hizo meno shingoni zitakaa wiki nzima na kama ana wanaume wengine wataziona labda awakwepe wiki nzima.
Mkuu wala hiyo siyo dawa,,

Wapo wanaume wanaopenda love bite za mwanamke shingoni.

Humfanya apige goli nyingi sana,,akiangalia love bite iliyotolewa na mwanaume mwenzie.
 
Lovebite kitu gani bwana weeh..Kwani siku hizi Kuna Cha peke yako.
 
Back
Top Bottom