Ndugu wana jamii forum,kama tunataka kama taifa kuondokana na mikataba mibovu ya madini,inayoleta hasara ikiwemo ishu ya mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje.Dawa ni kuwa na katiba MPYA
Siku hiyo ni sawa na kuzaliwa upya kwa Taifa;Hivyo mikataba yote iliyoingiwa chini ya katiba ya zamani itakuwa expired. Kwa hiyo kuanza mikataba upya kulingana na katiba MPYA. Hii ndiyo dawa ya kweli katika kuondokana na mikataba mibovu inayoligharimu taifa.
Naomba kuwasilisha.