Dawa ya kukuza uume ya kimasai inahitajika

Dec 27, 2014
39
70
Wakuu nipo na kijana anani sumbua kila siku anaitaji dawa za kukuza uume kwani ana maumbile madogo mimi nampelekea dawa ninazo zipata anasema ana hitaji zile za kimaasai sasa mimi sijui ni wapi kwa kuzipata msaada hapo wakuu mana sasa mpka naonekana mimi ndo kibamia
Screenshot_2019-10-16-22-51-59~2.jpeg
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,182
2,000
Aachane na hizi mambo atamaliza ela bure.... Yaliyoko mtaani n maneno ukiyafuatilia hayana ukweli

Myth -ni imani iliyojengeka kwenye jamii lakin hakuna ukweli ndani yake n kama story kila mtu anaziamini lakini siku anza kujaribu kuzithibitisha ndio utashangaa....

Najua anasikia sijui vimbi la mkongo mara za kimasai hamna iyo kitu
 
The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,266
2,000
Aachane na hizi mambo atamaliza ela bure.... Yaliyoko mtaani n maneno ukiyafuatilia hayana ukweli

Myth -ni imani iliyojengeka kwenye jamii lakin hakuna ukweli ndani yake n kama story kila mtu anaziamini lakini siku anza kujaribu kuzithibitisha ndio utashangaa....

Najua anasikia sijui vimbi la mkongo mara za kimasai hamna iyo kitu
Braza haya mambo yapo usikatae.

Kuna jamaa sehem fln alikua na hilo tatizo na girlfriend wake alilalamika wazi kabsa kua hafurahii jinsi alivyo!
Akamfata mmasai mmoja hiv wa karibu na hilo eneno, akampeleka kwa baba mmoja wa kimasai na huyo mzee alimpa dawa na akamwambia asubir siku 7 apeleke majibu. Hiyo dawa alinunua 40000, akampa cash.
Baada ya siku 7,akawa fresh kwa size kuliko ya awali.. yule jamaa alimpelekea hela ya ahsante!
Kwahy yapo, usitumie elimu ya darasani saaingn kupiga asili.

Jamaa mwingn naye, uume ulikua hausimami, akatafutiwa dawa ya kimasai ya kuchemsha hiv akanywa siku 3, akarudi katika hali ya kawaida..hiyo dawa alinunua ghal kidg sikumbuk..Jamaa kawa muhuni sana saiv.
 
Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
2,716
2,000
Msaidie jamaa kumpeleka huko

Itakua wewe dalali
Braza haya mambo yapo usikatae.

Kuna jamaa sehem fln alikua na hilo tatizo na girlfriend wake alilalamika wazi kabsa kua hafurahii jinsi alivyo!
Akamfata mmasai mmoja hiv wa karibu na hilo eneno, akampeleka kwa baba mmoja wa kimasai na huyo mzee alimpa dawa na akamwambia asubir siku 7 apeleke majibu. Hiyo dawa alinunua 40000, akampa cash.
Baada ya siku 7,akawa fresh kwa size kuliko ya awali.. yule jamaa alimpelekea hela ya ahsante!
Kwahy yapo, usitumie elimu ya darasani saaingn kupiga asili.

Jamaa mwingn naye, uume ulikua hausimami, akatafutiwa dawa ya kimasai ya kuchemsha hiv akanywa siku 3, akarudi katika hali ya kawaida..hiyo dawa alinunua ghal kidg sikumbuk..Jamaa kawa muhuni sana saiv.
 
Anti-Hacker

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
801
1,000
Mi ikisimama ni 3inches...na gem ni 4 sec na maona fresh tu...ila nikipata dawa fresh tu...koz wenhi wakisikia hivi huona fursa na kulets hadi mabi ya kuku et dawa...
 
interegenciadick

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
699
1,000
Kuna Uzi humu ulikuwa unatetea vibamia,
Kumbe bado hamkusoma wadada walivyotirirka? Wanapenda hivo mwambie mwana aache ujinga mbunye kuifaidi na kumfaidisha mwanamke ni utundu tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom