Dawa ya kisukari - nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kisukari - nisaidieni

Discussion in 'JF Doctor' started by ITSNOTOK, Aug 3, 2012.

 1. I

  ITSNOTOK Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama yangu anazidiwa na kisukari hivi sasa licha ya kuendelea kupata matibabu katika hospitali ya amana, anapoteza uzito kwa kasi sana sana. Anayefahamu lolote tafadhali - nakwama.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  DAWA YA UGONJWA WA KISUKARI

  >>>>Upate aina za dawa zifuatazo, kila moja
  kiasi cha gram 100, saga
  >>>>pamoja na dawa zifuatazo:
  >>>>1. Shubiri
  >>>>
  >>>>2. Ubani
  >>>>
  >>>>3. Mvuje
  >>>>
  >>>>4. Ukwaju
  >>>>
  >>>>5. Habasoda
  >>>>
  >>>>(kiasi cha dawa hizi hazijatwangwa, hivyo jaribu kukadiria
  >>>>mwenyewe) baada ya kusaga vizuri, gawanya katika mafungo matatu
  >>>>yaliyosawa. Changanya fungu moja na maji kiasi cha chupambili na
  >>>>uchemshe kwa dakika kumi. Ipua na iwache ipoe, chuja na hifadhi
  >>>>katika chupa nadhifu.
  >>>>
  >>>> MATUMIZI YA DAYA YENYEWE
  >>>>
  >>>>Tumia kila siku kikombe kimoja cha kahawa kabla ya kula chochote
  >>>>asubuhi kwa muda wa siku 13. Ikiisha dawa hii basi chukua fungu
  >>>>la pili na uchemshe kama ulivofanya kwa fungu la mwanzo. Tumia
  >>>>daya hii tena kwa muda ule ule wa siku 13.
  >>>>
  >>>>Itakapokwisha dawa hii basi chukua fungu la tatu na uitayarishe
  >>>>kamaUlivyofanya mafungu mawili ya mwanzo. Tumia dawa hii kama
  >>>>dawa hizo mbili za mwanzo ila tu kwa muda wa siku 14 , hii
  >>>>itafanya jumla ya siku za kunywa daya kuwa siku 40.
  >>>>
  >>>>Baada ya siku hizo 40 utajisikia kuwa ugonjwa wa kisukari
  >>>>umekwisha na unaweza kuanza kula vitu vyote ulivyokuwa
  >>>>umekatazwa. Inshallah kwa kudra zake Mwenyezi Mungu utakuwa
  >>>>umepona maradhi hayo

  Mpe Pole sana mwambie azitumie hizi dawa kwa muda wa siku40 kisha unipe Feedback.@
  ITSNOTOK
   
 3. dennisrt88

  dennisrt88 Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina dawa ya kisukari ambayo ninauhakika atapona kabisa,for more info call +255 763573246 or 0714043181, drutendeli@yahoo.com.
   
 4. siralola

  siralola Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna watu wengi wamepona sukari kuna mzee anajua dawa ya kienyeji yupo boga ni baba wa rafiki yangu kama unaiitaji fika mwenge vinyagoni duka no 58 uliza mudi raisi anaweza kukusaidia.
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu hakuna dawa ya kisukari duniani
   
 6. I

  ITSNOTOK Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana jamani, nitawapa taarifa ya maendeleo
   
 7. L

  Lyne Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anywe mafuta ya ubuyu
   
 8. patricia Kichao

  patricia Kichao Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mama yangu anaumwa na sukari huu ni mwaka wa 8 sasa. imebidi ahamie dar sababu ya kuudhurida dialysis after every one day. jamani kuna njia mbadala zaidi ya hapo? ameacha mji wake mwanza for more than 10months now. kuna anaeweza nisaidia hapa wapendwa?
   
 9. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu Pole kwa kuuguza,

  Sijui shida unayoiulizia ni Kisukari au kupungua uzito!

  Kupungua kwa uzito kwa mgonjwa wa Kisukari kunaweza kusababishwa na Kisukari chenyewe(Type I DM) au matibabu(yaani hapa, kwa dawa anazotumia) au Upungufu wa Kinga(hutokea pia kwa wagonjwa kuwa na kinga pungufu, hivyo uwezekano wa magonjwa kupungua kwa mwili).

  Ni vizuri kuongea na daktari wake kujua sababu hasa ni ipi!
   
 10. Peter Dafi

  Peter Dafi JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 355
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Products for detox, slimming, balancing & rejuvenation. Good for constipation, cough, cold, ulcer, diabetes, hypertension stroke heart diseases liver diseases anemia skin diseases hormonal imbalance varicose veins body odors high and low blood pressure cancer wounds{operating wounds} sore throat hemorrhoids asthma arthritis hapatitis ppyorrhea obesity hayfever thyroid migraine and headache kidney failure etc. What is Healthy Living? Chronic diseases have increasingly plagued modern society. This can be attributed to the stress brought about by hectic and unhealthy lifestyles, as well as living in a polluted environment. Now, more than ever, managing our health is essential to sustain ourselves, for us to function at our peak while doing our daily activities. However, maintaining good health is no longer just about eating well, exercising. You can contact us:... +255 655 347 303 +255 756 347 303
   
 11. H

  HAPPY MAKUKU Senior Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tafuta mbegu za mlonge na majani yake.
   
 12. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Though nje ya topic, ila mkuu sijaelewa wahitaji kusaidiwa kwa namna gani..kwani mama anapata matibabu!

  Mojawapo ya madhara(complications) ya Kisukari, iwapo haitakuwa monitored vyema ni kupata madhara katika figo
  ila kama bi kuhamia kufanya Mwz, sidhani kama inawezekana kwani Dialysis Centres ziko chache mkuu hata wataalam wa figo ni wakuhesabu pia!

  Givyo ni bora kubaki Dar kuendeleza matibabu.
   
 13. patricia Kichao

  patricia Kichao Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hippocratessocrates maana yangu ni kwamba kama kuna tiba za asili na yy aweze kurudi kwake DAr. Dialysis Tanzania nzima ni dar peke yake so amehamia Dar na mpaka awe kwenye Dialysis ni kwamba figo zina shida zote mbili. ndio hawa sbabu yangu ya kuomba msaada kama kuna anejua tiba za kienyeji coz ni tiba za zamani but smtms zinafanya kazi. that is my reason mkuu ya kuomba msaada hapa kama hakuna bac tutaendelea na huo mchakato mpaka wakati wa kwenda India ukifika wa kumfanyia transplant
   
 14. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Natambua tabu unayopata mkuu, kwa wagonjwa wengi ninawashauri watumie dawa za hospitali(pharmaco-industrial made) na ndivyo ningewndelea kushauri kuwa hivyo,...Lajini katika hili inabidi kufuata maelezo ya mkuu wetu MziziMkavu, awa kuwasiliana naye zaidi.
   
Loading...