Travuhler
Senior Member
- Nov 13, 2015
- 153
- 96
Bado mkuumkuu vp tatzo lako ulipatia ufumbuz?
Bado mkuumkuu vp tatzo lako ulipatia ufumbuz?
Em nambie nami niitafute inapatikana wapi na inauzwaje ili nijipange?mpare wa milimanizinapatikana 65720 said:Mimi niliteseka zaidi ya miaka saba ila nimepata lotion anaitwa MARICHA itafute hutojuta
Post sent using JamiiForums mobile app
Chunusi zina dawa zake na zinapona kabisa. Tatizo kubwa ni kwamba wahanga wengi wanahangaika kutokomeza vipele badala ya chanzo cha chunusi zenyewe. Sababu kuu za chunusi ni kama nne:Baadhi ya watu huamini hamna tiba ya chunusi ila dawa huzipunguza tu. Je ulisha wahi kuwa na chunusi zikaisha kabisa? Tuambie ulifanyaje tufaidike pamoja.
Ukiamka asubuhi kabla hujapiga mswaki kunywa maji nusu lita lakini kidogokidogo kama unakunywa chai vile ukimaliza kaa nusu saa bila kula kitu chochote baada ya hapo unaweza kuendelea na mambo mengine. Hii sio kwa chunusi tu na ngozi kwa ujumla inapendeza sana.Baadhi ya watu huamini hamna tiba ya chunusi ila dawa huzipunguza tu. Je ulisha wahi kuwa na chunusi zikaisha kabisa? Tuambie ulifanyaje tufaidike pamoja.
Inapatikana wapi..... Bei yake ni ngapiHii sabuni ilitibu tatizo langu
AFRICAN BLACK SOAP
bei gan hii kituHii sabuni ilitibu tatizo langu
AFRICAN BLACK SOAP
Baadhi ya watu huamini hamna tiba ya chunusi ila dawa huzipunguza tu. Je ulisha wahi kuwa na chunusi zikaisha kabisa? Tuambie ulifanyaje tufaidike pamoja.
Nasikia sha -hawa pia zinaondoa chunusi kabisa. Tunaweza fanya majaribio pamoja tugunduwe ukweli huo. Ni Pm tufanye kazi.Hari zenu vip ndg zangu....
Leo naomba tujuzane dawa au mafuta,rotion tube nk .ili mradi tu viwe na uwezo wa kutoa chunusi na kuondoa mabaka , itapendeza ukiweka na picha ya kitu hicho kama utaweza