Dawa ya cholestrol hii

jamadari

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
295
92
Zipo dawa za Hospital watu wanazotumia lakini na hii pia inafanya kazi nzuri.Kitunguu thomu unatafuna chembe moja kila siku,utajisikia nafuu kabisa.Kama huwezi kutafuna fanya juisi ya ukwaju kwa kusagia kitunguu ndani yake na kunywa kila siku.Kama huwezi basi kata chembe ndogo ndogo umeze na maji.
Ishara ya kuwa na cholestrol ni kuwa na maumivu ya kifua na nyengine ni uvutaji wa pumzi kuwa wa taabu hasa wakati wa kulala unakuwa unapata taabu sana.
Na pia mchaichai (GREEN TEA ) fanya hii iwe ndio chai yako.Usitumie majani ya chai ya kawaida.Utaona faida zake.Hii green tea ni nzuri sana hata kama mtu hana cholestrol ni bora kutumia chai hii kuliko majani ya chai ya kawaida.Green tea haina matatizo yoyote kwa binadamu.

Jaribuni dawa hizi inshaallah mtapata nafuu na afya njema,amin.
 
asante sana nitaanza, je hii inafaa kuweka kitunguu thomu kwenye chakula au nilazima kiwe kibichi?
 
good. thanks mkuu!
naanza leo kutafuna vitunguu saumu.
hivi vile vya kichina vinafaa? coz hata harufu yake sio ya kivile sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom