Dawa ya asili ya kuondoa michirizi kwenye ngozi

Daltonae

Member
Jun 18, 2014
26
5
Nina dawa ya asili ya kuondoa michirizi ya ngozi inayotokana na mimba,unene na kutumia vipodozi vikali.Inaondoa kwa mda wa mwezi mmoja.Kwa mawasiliano zaidi pigs 0715 942 744.Niko Dar
 
Mm napenda wenye michirizi nyuma ya mapaja Kwa chini hasa pale nyuma ya Goti yaani katikati ya mguu daaa rahaaa

Sasa mtoa mada utatuharibia badili uganga wako ufanye hata kazi ya kuchuna vitoweo mahotelini
 
Nina dawa ya asili ya kuondoa michirizi ya ngozi inayotokana na mimba,unene na kutumia vipodozi vikali.Inaondoa kwa mda wa mwezi mmoja.Kwa mawasiliano zaidi pigs 0715 942 744.Niko Dar

Hao hapo penye nyekundu ndiyo wateja wako .
Hao wengine wenye michirizi ya asili tuachie sisi.
Nasisitiza TUACHIE SISI.
 
Back
Top Bottom