Dawa rahisi ya kutibu masikio. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa rahisi ya kutibu masikio.

Discussion in 'JF Doctor' started by dmatemu, May 24, 2012.

 1. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 591
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  Wadau naomba mnisaidie, nina demu wangu, yeye si mwanaJF ila ana matatizo ya masikio. Anadai kwamba yanamuuma sana kwa ndani na hayatoi usaha. Tatizo lilimuanza mwaka jana na analo kwa mwaka mzima sasa. Kwa anayejua dawa hasa ya mitishamba au ya kienyeji naomba anisaidie ili my wife to be apate nafuu. Anateseka sana.
   
 2. F

  Fofader JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mwoneni ENT specialist ili kujua tatizo ni nini?
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kuna majani ukiyagusa yananywea....DON'T TOUCH ME/TOUCH ME NOT
   
 4. M

  Mwinga Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bangi au mafuta ya kuku ni dawa nzuri ya sikio linalouma
   
 5. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  braza tusaidie namna ya kutumia hayo majani!
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  sasa mtu amekwambia dawa za kienyeji au kuna ma ENT wa kienyeji ?. Waacheni washirikina wawazike washirikina wenzao
   
 7. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Uc2mie dawa yeyote kabla hujamuona ENT specialist doctor. Dawa nying za masikio ni drops na km ngoma ya cko imetoboka inaenda kuharibu v2 vngne huko ndan. Ukiziw c lazima uzaliwe nao ila uzembe km wenu unasababisha kuongezeka kwa viziwi. Toka mwaka jana anaumwa af yupo 2, hospital hazijui?
   
 8. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Uc2mie dawa yeyote kabla hujamuona ENT specialist doctor. Dawa nying za masikio ni drops na km ngoma ya cko imetoboka inaenda kuharibu v2 vngne huko ndan. Ukiziw c lazima uzaliwe nao ila uzembe km wenu unasababisha kuongezeka kwa viziwi. Toka mwaka jana anaumwa af yupo 2, hospital hazijui? Na wewe bla aibu unataka hasa mitishamba! Funguka ndugu yangu nenda nae hospital akafanyie chek up kabla hajapewa dawa. Na c kila dr. Anaweza kutbu mackio dats y nimekwambia mtafute ENT Specialist dr.
   
 9. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wazo ka kucheck uzima wa ngoma kwanza. Kama hajaathirika basi tafuta bangi mbichi uweke matone mawili hivi basi mchezo utakuwa umekwisha.
   
 10. papason

  papason JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mafuta ya kuku ni kiboko ya magonjwa ya sikio!
   
 11. F

  Fofader JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Wa kienyeji au wa kizungu?
   
 12. k

  kibaravumba JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 3,670
  Likes Received: 1,618
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka nilipokuwa mdogo nilisumbuliwa sana na sikio lakini mama alinitibu na mafuta ya kuku na mara alipoyamimina tu sikioni,hata kama linauma vipi,linaanza kutulia kabisa.Hakukuwa na pharmacy na wala zahanati haikuwa na dawa za sikio
   
Loading...