Dawa nyingine za Kifua kutoka India zaua Watoto 18 Uzbekistan

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,323
7,963
Wizara ya afya imesema Watoto hao walifariki baada ya kunywa dawa yenye jina la Doc-1 Max iliyokutwa na kemikali ya ethylene glycol inayotumika kutengeneza Vimiminika vya Breki, Sigara, Rangi, Plastiki na Vipodozi.

Tayari Mamlaka za India zimesitisha shughuli za kiwanda cha Biotech kilichotajwa kuzalisha Dawa hizo pia, sampuli za dawa ya kikohozi iliyohusishwa na madhara hayo zimechukuliwa kwa ajili uchunguzi wa kitaalamu.

Oktoba 2022 kampuni ya Maiden Pharmaceuticals ya India ilisimamishiwa uzalishaji baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuripoti kuwa Dawa zake za Kutibu Kifua kwa Watoto zimesababisha vifo vya Watoto 66 nchini Gambia.

=================

Indian authorities on Thursday halted production at a pharmaceutical company under investigation for a cough syrup blamed by Uzbekistan health officials for the deaths of at least 18 children.
Marion Biotech is the second local drugmaker to face a probe by regulators since October, when the World Health Organization linked another firm's medicines to a spate of child deaths in Africa.

Health minister Mansukh Madaviya said investigators had spoken to their counterparts in Uzbekistan and were inspecting the company's facility near the capital New Delhi.

He said on Twitter samples of the cough syrup have been taken and sent for forensic analysis.

"Further action as appropriate would be initiated based on the inspection report," he said.

The health ministry of Uzbekistan said in a statement on Wednesday the children died after consuming a cough syrup under the brand name Doc-1 Max, according to local media reports.

It said the syrup was contaminated with ethylene glycol, a toxic chemical used in the preparation of antifreeze, brake fluid, cigarettes, paints and some dyes, plastics, films and cosmetics.

Drug officer Dinesh Tiwari told AFP his colleagues inspected the firm on Thursday and ordered it to halt production.

"The results are expected in a few days," he said, adding that the medicine had not been sold in India.

Marion Biotech representatives could not be reached for comment.

The Indian drugmaker Maiden Pharmaceuticals was accused in October of manufacturing several toxic cough and cold remedies that led to the deaths of at least 66 children in The Gambia.

The WHO said those medicines had also been contaminated with "unacceptable" amounts of ethylene glycol and a closely related compound.

The victims, mostly between five months and four years old, died of acute renal failure.

India launched a probe of Maiden Pharmaceuticals after the WHO alert but said last week the investigation had found the suspect drugs were of "standard quality".
 
Hadi hizo dawa zinafika kwa wananchi, kitengo husika ndani ya serikali yetu pendwa kinafanya kazi gani au hawajui wajibu wao😡😠😠.
SHAME ON U!!
 
Mtakoma. Mpaka akili ziwakae sawa.

Mkiambiwa kutumia majani ya mlonge mnasema huo ni uchawi!

Okay, bugia makemikali yenye sumu uendelee kujifia taratibu!

Ati utandawazii! Mweeeh!
 
serekali zote kukubali matokeo kwa mda mfupi ni ngumu mpaka kuona matokeo.kwani kisa cha corona nacho hivo hivo china kilipinga sana
 
Haya madawa ya viwandani yanatengenezwa kwa kemikali hatari, ila hakuna namna kuzitumia kwa kuwa mfumo wa afya unazitambua. Mpaka zizoeleke kwa matumizi ya binadamu huwa zinasabisha madhara mengi ikiwemo vifo
 
Kibongongo inaweza kuwa Ishaua watu wengi, na hamna taarifa yoyote inayotoka
 
Kiukweli hapa bongo watu wanapoteza maisha kila siku na hakuna anaejali kuchunguza kama hao wenzetu wa Uzbekistan, na ukijidai kuchunguza sana unalambishwa asali na kukalishwa chini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom