Imekuchukua muda gani kukata hizo 6 mkuu??kunywa maji ya vuguvugu kiasi cha lita 1 asubuhi kabla hujala chochote na hujapiga mswaki,then kaa dk 45 bila kula chochote.
nilikuwa na 88kg now 82
mpaka sasa ni miezi miwili na bado naendelea,Imekuchukua muda gani kukata hizo 6 mkuu??
Kudos mkuu...umejitahidimpaka sasa ni miezi miwili na bado naendelea,
usijaribu kuhusu dawa mkuuKama kuna dawa isiyokuwa na madhara iwe ya kienyeji au ya kizungu ningependa kutumia
kwamba mapenzi yanapunguza kiloooDah mwenyewe tokea nimeacha mambo ya mapenzi nimeongezeka kilo asee nilikua na 68 mpaka saizi nakimbilia 80.
Inabidi nifanye usajili asee.
tumecomment mtaalam , tusaidie hiyo tea