Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

Wacha nionge na Mr akirudi kazini manake juzi shemeji yangu kaja home baada ya Salam Duu Shem shavuu DoDo😏 amenikera ila basi tuu.. Lakini kweli numeongezeka 10-13 kgs ...
 
Ni namna gani naweza kupunguza uzito/kupunguza mwili na kuonekana kijana tena?.Je nitawezaje kupunguza mwili kwa namna salama na ya uhakika?....Hili ni swali ambalo wengi huwa wanajiuliza na kujaribu njia mbalimbali ili kupunguza miili yao bila mafanikio.Taratibu zetu za maisha zinapelekea wengi kutoweza kupangilia diet kama inavyotakiwa.Si hivyo tu,bali kuna wengine hata hawajali kama kuna kitu kinaitwa mlo kamili.Wao hula tu ili mradi tumbo limejaa.
Unene uliopitiliza unaleta magonjwa mbalimbali kama pressure,kisukari,kuharibu mzunguko wa damu.nk.Si hivyo tu,bali hupelekea kuwa na muonekano usioridhisha,kutokujiamini,str ess.nk.

Solution:-Trust me,kupunguza unene sio jambo gumu kama wengi wanavyodhani,nikitu kinachowezekana sana kama utapata msaada mzuri.Kwasababu sitaweza kutoa maelezo yote hapa,kama upo tayari kuondokana na stress za kujaribu kupunguza unene/uzito bila mafanikio,niko tayari kukusaidia.Nitakuonesha mkono kwa mkono njia ya uhakika pamoja na bidhaa salama kwa ajili ya kupunguza unene zenye guarantee.Nitafute kupitia namba:-0659143784
 
Tumbo ni sehemu ya mwili pia, unaposema kupunguza tumbo bila kupunguza mwili una maana gani?
Yeah ni kweli unachosema hawezi kupungua tumbo pekeyake bila sehemu nyingine ya mwili kupungua nakulingana na ushauri anaopewa lazima apungue mwili mzima.
 
Msaada nahitaji kupunguza tumbo pasipo kupungua mwili
Nilishawahi tumia mkanda ukanishinda
Ulikua unaniumiza sana nikaacha
nakushauri kutumia belt tuu, ninazo belt ambazo unapungua tumbo na kiuno inakushepu unaonekana vizuri na haiumizi ni tofauti kabisa na belt ulizozizoea
 
anataka dawa ya kupunguza tumbo. kama unayo mpe mkuu!
Sawa lakini si angetaja umri na size ya tumbo, sasa mambo ya kuwa yeye ni dume la mbegu anapeleka wapi, aende basi kijijini kwao akapandwe, mwanaume unjiita dume la mbegu alafu wanaume wenzako wakitaka kukupanda utalalamika?
 
Fanya mazoezi ya kutosha na jitahidi kunywa maji ya uvuguvugu kila siku asubuhi unapoamka kabla ya kupiga mswaki,glass moja ni nzuri zaidi ukikamulia na kipande cha ndimu au limao.
 
Habari wanajf;naomba kuuliza namna ya kupunguza unene jamani mke wangu mnene sana au njia zipi atumie ili apunguze unene huo.nawasilisha
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom