Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Utafiti huu unawalakini mmoja mkubwa........hauzungumzii watu wa jamii hizo hula kiasi gani ya chakula kwa kila mlo.......yaani calorific intake..........................na hufanya shughuli zipi...............................hutembea sana au hujishughulisha sana na kazi za mikono au huwa hawana shughuli ambazo huzifanya.....................
Mimi ninaamini dawa ya unene ni kula kwa kiasi na kuushughulisha mwili kwa shughuli za mikono na kutembea kila siku ndiyo utauthibiti unene...........hata unywe mgando, mtindi au uji kwa kiasi cho chote kile lakini kama kila mlo wewe kazi ni kuvimbiwa tu kamwe unene hautapungua ila utaongezeka...............tena maradufu........................Have your say.......