Sulayman Sangida
Member
- Feb 5, 2018
- 91
- 51
Ndugu hapa tupo kwa ajili ya kusaidia watu wenye matatizo na sio kwa ajili ya kuwaliza na kuwatapeli watu wenye matatizo, ukiona wewe kwa ufahamu wako na jinsi ulivyofindisha ama ulivyotafiti kuona hakuna dawa, basi fahamu kuwa kuna watu tunaotibu tatizo hilo kabisaaa na kama una mtu wako njoo ofisini tuandikishane nimtibie baada ya kupona unipe pesa yangu, kwa hiyo chunga mwenendo wako unaweza kuwakatisha watu tamaa ya kutumia dawa na kuwasababishia kuendelea kuteseka na ugonjwa huu kumbe dawa ipo na ameiona ila kwa kumkatisha tamaa hatoichukua, anyway sipo hapa kupoteza muda ukiwa ni mgonjwa ama unamgonjwa unaweza nitafuta kwa wakati wako nipate kukutibiaHAMNAGA DAWA YA KISUKARI ,DAWA NI KUANGALIA CHAKULA UNACHOKULA NA MAZOEZI TUU ACHA UTAPELI PLEASE