Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

HAMNAGA DAWA YA KISUKARI ,DAWA NI KUANGALIA CHAKULA UNACHOKULA NA MAZOEZI TUU ACHA UTAPELI PLEASE
Ndugu hapa tupo kwa ajili ya kusaidia watu wenye matatizo na sio kwa ajili ya kuwaliza na kuwatapeli watu wenye matatizo, ukiona wewe kwa ufahamu wako na jinsi ulivyofindisha ama ulivyotafiti kuona hakuna dawa, basi fahamu kuwa kuna watu tunaotibu tatizo hilo kabisaaa na kama una mtu wako njoo ofisini tuandikishane nimtibie baada ya kupona unipe pesa yangu, kwa hiyo chunga mwenendo wako unaweza kuwakatisha watu tamaa ya kutumia dawa na kuwasababishia kuendelea kuteseka na ugonjwa huu kumbe dawa ipo na ameiona ila kwa kumkatisha tamaa hatoichukua, anyway sipo hapa kupoteza muda ukiwa ni mgonjwa ama unamgonjwa unaweza nitafuta kwa wakati wako nipate kukutibia
 
Uzi mzuri sana. Nimejifunza mengi kuhusu ugonjwa, aina zake, dalili n.k. Pamoja na hayo ushauri wangu kwa wataalamu nawaomba wekeni mifano ya namna bora ya kula kwa wagonjwa wa kisukari, kuanzia mlo wa asubuhi uwe na vyakula gani mpaka wa usiku. Asanteni.
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI
usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani
acha chai ya rangi na kahawa
jishughulishe na mazoezi
ongeza unywaji wa maji
tumia chumvi ya mawe katika vyakula vyako
tumia vyakula ambavyo havija kobolewa mfano kama ni ugali tumia Dona na si sembe
 
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI
usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani
acha chai ya rangi na kahawa
jishughulishe na mazoezi
ongeza unywaji wa maji
tumia chumvi ya mawe katika vyakula vyako
tumia vyakula ambavyo havija kobolewa mfano kama ni ugali tumia Dona na si sembe
Wewe ndo umetoa dawa ubarikiwe Sana. Kuongezea pia usisahau kupima afya na kujikagua mara kwa mara
 
Ndugu dawa hii inakwenda kutibu kongosho kabisa
Asante mkuu kwa majibu mazuri yenyekutia faraja kwa wengi.Lakini tungependa kujua.Hiyo dawa jinsi na namna ulivyoichanganya,kama ni matunda au miti yenye viambata dawa, ili basi wataalamu walioko humu waijue. Kwamba dawa hii inauwezo wa kutibu kongosho kwa sababu inaviambata muhimu kwa kongosho.Maana huenda kukawa na mashaka juu ya dawa hiyo kwa sababu ya Maelezo yako kua inatibu sukari iliozidi na hapo hapo inatibu sukari iliopungua.Na mashaka hayo yote yanakuja kwa sababu kongosho linamagonjwa mengi ambayo yanayo sababisha lishindwe kuzalisha homoni ya insulin Sasa pale inapotokea kauli ya kusema iko dawa ya kutibu kuzidi kwa sukari na kupungua kwa sukari kunakua na mkanganiko wa mawazo. Ainisha Tafadhali uondoe utata huu mkuu.
 
Asante mkuu kwa majibu mazuri yenyekutia faraja kwa wengi.Lakini tungependa kujua.Hiyo dawa jinsi na namna ulivyoichanganya,kama ni matunda au miti yenye viambata dawa, ili basi wataalamu walioko humu waijue. Kwamba dawa hii inauwezo wa kutibu kongosho kwa sababu inaviambata muhimu kwa kongosho.Maana huenda kukawa na mashaka juu ya dawa hiyo kwa sababu ya Maelezo yako kua inatibu sukari iliozidi na hapo hapo inatibu sukari iliopungua.Na mashaka hayo yote yanakuja kwa sababu kongosho linamagonjwa mengi ambayo yanayo sababisha lishindwe kuzalisha homoni ya insulin Sasa pale inapotokea kauli ya kusema iko dawa ya kutibu kuzidi kwa sukari na kupungua kwa sukari kunakua na mkanganiko wa mawazo. Ainisha Tafadhali uondoe utata huu mkuu.
Kwanza kabisa niwaombe radhi kabla ya kuandika,
Siwezi kuweka hewani kwamba nachanganya mti fulani na fulani na fulani laa, huu ni ujuzi ukihitaji kuupata ujuzi huu ama ukihitaji kuja kuifanyia uchunguzi dawa hii unaweza kunitafuta kwa wakati wako nitakufahamisha na kukuonesha ni miti gani natumia kuchanganya dawa hii ili na wewe upate kuitambua,

Kiufupi dawa hii ni mchanganyiko wa mizizi ya miti pamoja na mbegu za miti dawa mbalimbali.

Ukihitaji kuichukua dawa hii ukafanyie uchunguzi na utafiti wako unaweza wasiliana nami kwa kunipigia simu ama whatsapp +255 655 821 550
 
Kwanza kabisa niwaombe radhi kabla ya kuandika,
Siwezi kuweka hewani kwamba nachanganya mti fulani na fulani na fulani laa, huu ni ujuzi ukihitaji kuupata ujuzi huu ama ukihitaji kuja kuifanyia uchunguzi dawa hii unaweza kunitafuta kwa wakati wako nitakufahamisha na kukuonesha ni miti gani natumia kuchanganya dawa hii ili na wewe upate kuitambua,

Kiufupi dawa hii ni mchanganyiko wa mizizi ya miti pamoja na mbegu za miti dawa mbalimbali.

Ukihitaji kuichukua dawa hii ukafanyie uchunguzi na utafiti wako unaweza wasiliana nami kwa kunipigia simu ama whatsapp +255 655 821 550
Asante mkuu.
 
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MGONJWA WA KISUKARI
usinywe soda ya aina yyte na juisi za viwandani
acha chai ya rangi na kahawa
jishughulishe na mazoezi
ongeza unywaji wa maji
tumia chumvi ya mawe katika vyakula vyako
tumia vyakula ambavyo havija kobolewa mfano kama ni ugali tumia Dona na si sembe
Matunda kama nanasi, embe, ndizi yanafaa kwa mwenye kisukari?
 
Hello JF members,

Nimeona Leo nitoe yangu machache kuhusu watu wanaotangaza kwamba wanatibu Ugonjwa wa kisukari aina ya Pili ukweli Ni kwamba Ni uongo. Nina mgonjwa wa kisukari ameshazunguka Tanzania nzima kutafuta dawa mbadala na ameshakunywa karibu debe kumi na Moja za dawa za kienyeji hamna kupona, achilia mbali hizo za kuweka kwenye chai ,Kongosho likishaharibika halina tena uwezo wa kutoa Ile hormone ya insulin. Hata uende USA ,EUROPE , ASIA hamna dawa za kuponyesha, ila Kuna hizi za metrofomin na hizi insulin za sindano zinasaidia sana.

Ushauri wangu Kwa mgonjwa wa kisukari .
Afuate masharti anayoambiwa na Dr wake kuhusu huu Ugonjwa usiacha dawa zako za hospital utumie za mitishamba.

Bila kusahau kufanya mazoezi ,kula mboga za majani Kwa wingi sana Maji mengi ,usile sembe kula Dona.usile mchele mweupe kula brown rice ,mkate kula brown bread ,kisusio na supu yenye mafuta mengi sio nzuri kwani inakinzana hii hormone ya insulin kufanya kazi.

Beer Ni noma Kwa mwenye kisukari,Ni hayo tuu niliyo nayo.

MWENYEWE KUONGEZEA KARIBUNI SANA.
 
Sawa mkuu maana watanzania wengi huwa tunatumia matatizo ya wenzetu kuwa fursa sio kusaidiana
 
Tatizo lenu ni ili Mnataka matokeo ya haraka lazima utaibiwa Tambuwa, huo ugonjwa wa Kisukari mpaka Kuja kugundulika ujuwe umeanza miaka mingi iliyopita.

Sishangai magonjwa wako kuto kupona kwa hivyo vyakula unavyompa. Kama unataka kujuwa vyakula salam kwa magonjwa wako na kupata nafuu kuondokana na tatizo la kutumia dawa kila siku ni PM
 
*UGONJWA WA KISUKARI*(DIABETES MELLITUS)
.
SEHEMU YA 1
.

.
UTANGULIZI NA AINA ZA KISUKARI
.
Miongoni mwa magonjwa sugu yanayoendelea kuathiri afya za mamilioni ya watu wa nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania ni ugonjwa wa kisukari. Ugonjwa huu hutokea pale ambapo tezi kongosho linaposhindwa kutengeneza kichocheo aina ya Insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho cha insulin na kusababisha kuongezeka kwa kiwango cha sukari kwenye damu au hyperglycemia.

AINA ZA KISUKARI

Kisukari kimeanishwa katika makundi yafuatayo Aina ya kwanza ya Kisukari au Type 1 Diabetes Mellitus

Hii ni aina ya kisukari inayowaathiri zaidi watoto na vijana (young adults). Aina hii hutokea iwapo seli maalum zinazotengeneza homoni ya insulin zijulikanazo kama beta cells of Islet of Langerhans katika tezi kongosho zitakosekana au zitaharibika kwa sababu yeyote ile, na hivyo kusababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo hicho kwenye damu.

Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi kongosho ni pamoja na kushambuliwa kwa tezi kongosho kunakoweza kufanywa na magonjwa ya kinga ya mwili wa mtu mwenyewe au autoimmune diseases; au kushambuliwa na vyanzo visivyojulikana yaani idiopathic causes.

Kwa vile, uharibifu katika tezi kongosho hupelekea ukosefu wa insulin au hufanya insulin kuzalishwa kwa kiwango kidogo sana, wagonjwa wa aina hii ya kisukari uhitaji kupewa dawa za insulin kwa njia ya sindano kila siku za maisha yao ili waweze kuishi. Ndiyo maana aina hii ya kisukari huitwa pia Kisukari kinachotegemea Insulin au Insulin Dependent Diabetes Mellitus (IDDM)
.
INAENDELEA...
.
 
UGONJWA WA KISUKARI ('DIABETES MELLITUS') NI NINI? CHANZO, AINA, DALILI NA TIBA YAKE?

KISUKARI NI NINI HASWA?
Sukari mwilini hutokana na vyakula pamoja na vinywaji tunavyotumia kila siku na hutumika kuupa mwili nguvu. Glukosi ni aina ya sukari ambayo huzipa chembe za mwili nishati. Hata hivyo ili glukosi iingie ndani ya chembe hizo inahitaji insulini. Insulini ni kemikali (Homoni) ambayo hutokezwa na kongosho (Pancrease).
Ugonjwa wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati na pia unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili.

KISUKARI KIMEANISHWA KATIKA MAKUNDI YAFUATAYO:

  1. Kisukari Namba Moja (Type 1 Diabetes)
Hii ni aina ya kisukari inayowaathiri zaidi watoto na vijana au watu chini ya miaka 45. Aina hii hutokea iwapo seli maalum zinazotengeneza homoni ya insulin zijulikanazo kama beta cells of Islet of Langerhans kuwa pungufu. Iwapo seli katika tezi kongosho zitakosekana au zitaharibika husababisha ukosefu kabisa au upungufu wa kichocheo insulin kwenye damu.

Mambo yanayoweza kusababisha uharibifu wa seli hizi katika tezi ya kongosho ni pamoja na kushambuliwa na magonjwa yanayosababisha upungufu wa kinga ya mwili. Uharibifu katika tezi kongosho hupelekea kukosekana kabisa kwa tezi ya insulin au huifanya tezi hiyo kuzalishwa kwa kiwango kidogo.

Wagonjwa wa aina hii ya kisukari huhitaji kupewa dawa za insulin kwa njia ya sindano katika maisha yao yote ili waweze kuishi. Ndiyo maana aina hii ya kisukari huitwa pia kisukari kinachotegemea Insulin au Insulin Dependent Diabetes Mellitus (IDDM)

  1. Aina Ya Pili Ya Kisukari (Type 2 Diabetes)
Hii ni aina ya kisukari inayotokea zaidi ukubwani humtokeo watu wenye umri za ya miaka 40. Aina hii ya kisukari husababishwa na kupungua kwa ufanisi utendaji kazi wa homoni ya insulin. Hali hii husababishwa na unene uliopitiliza yaani obesity, au hali ya kutofanya mazoezi kabisa (physical inactivity). Kwa vile, katika aina hii ya kisukari, insulin huzalishwa katika kiwango cha kutosha isipokuwa tatizo lipo kwenye ufanisi wa utendaji kazi wake.

Wagonjwa wa aina hii ya kisukari hawahitaji kupewa insulin kwa njia ya sindano. Ndiyo maana aina hii hujulikana pia kama kisukari kisichotegemea insulin au Non-Insulin Dependent Diabetes Mellitus (NIDDM).

  1. Kisukari Cha Ujauzito (Gestational Diabetes)
Ni aina ya kisukari kinachotokea pindi kunapokuwa na ongezeko la kiwango cha sukari katika damu (hyperglycemia) wakati wa ujauzito. Aina hii ya kisukari huathiri karibu asilimia 2-5 ya wanawake wajawazito, ingawa wengi wao hupata nafuu na kupona kabisa mara tu baada ya kujifungua. Hata hivyo, karibu asilimia 20 mpaka 50 ya wanawake wajawazito wanaopata aina hii ya kisukari huweza kuendelea nacho hatimaye kuwa aina ya pili ya kisukari maishani.

NINI CHANZO HASA CHA KISUKARI ('DIABETES MELLITUS')?

Ili kuelewa vyema ugonjwa wa kisukari ni muhimu kwanza kuelewa namna chakula kinavyovunjwa vunjwa na kutumiwa na mwili ili kuzalisha nguvu. Wakati chakula kinapoyeyushwa matukio kadhaa hutokea. kama yafuatayo;

Sukari inayoitwa glucosi ambayo ndo huwa ndo sukari ya mwisho yenye chanzo cha nishati/nguvu mwilini huingia katika damu.

Kiungo kinachoitwa kongosho (Pancrease) kutengeneza kichocheo cha insulini. Kazi ya insulini ni kuondoa glucosi katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumika kama nishati.

Watu wenye kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko inavyotakiwa kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu.

Hii ni kutokana na moja ya sababu zifuatazo, huenda kongosho zao haziwezi kutengeneza insulini ya kutosha au seli za mwili wao haziathiriwi na insini kama inavyotakiwa au sababu zote hizo mbili. Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.

Visababishi vya kisukari hutofautiana kulingana na aina husika ya kisukari.

Visababishi vya aina ya kwanza ya kisukari

Aina ya kwanza ya kisukari ina uhusiano mkubwa sana na kurithi. Aidha aina hii pia husababishwa na maambukizi ya Coxsackie virus type B4. Visababishi vingine ni pamoja na sumu inayotokana na kemikali za baadhi ya vyakula (food borne chemical toxins), na kwa baadhi ya watoto wachanga maziwa ya ng’ombe yanaweza kuchochea kinga ya mwili wa mtoto kuushambulia mwili wenyewe (autoimmune reaction) na hivyo kupelekea uharibifu katika tezi kongosho.

Visababishi vya aina ya pili ya kisukari

Kwa ujumla aina hii ya kisukari husababishwa zaidi na mfumo wa maisha na matatizo ya kurithi. Aidha vitu kama kuongezeka uzito na unene kupita kiasi (obesity) nayo pia huchangia kutokea kwa aina hii ya kisukari. Sababu nyingine ni pamoja na Kuongezeka umri, maisha ya kivivu na kutofanya mazoezi (physical inactivity).

NI NANI ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KISUKARI?
  1. Wenye uzito uliozidi, wasiofanya mazoezi,
  2. Wenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia zao,
  3. Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,
  4. Wenye shinikizo la damu,
  5. Wenye msongo wa mawazo na
  6. Wenye matumizi makubwa ya pombe na sigara.
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI

~ Kukojoa mara kwa mara. Hii ni kutokana na figo zao sasa haziwezi kuirudisha glucose kwenye mfumo wa damu na badala yake zinachukua maji kutoka kwenye damu na kusababisha kibofu kijae mara kwa mara.

~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati. Hii ni kutokana na mwili kupoteza maji kwa mkojo.

~ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati. Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu uchovu hutokea.

~ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri. Hii hutokea zaidi wagonjwa wa type1 diabetes kwa sababu kwa kukosa insulin na seli kukosa chanzo cha kupata nguvu mwili huanza kuvunjavunja misuli na kuyeyusha mafuta ya mwili ili upate nguvu.

~ Kusikia njaa kila wakati na kula sana. Kama insulin yako haifanyi kazi au kama huna insulin mwili wako unakosa glucose ya kuupa nguvu hivyo hutafuta njia ya kupata nguvu.

~ Kutoona vizuri.hii ni plae ambapo netve zinakosa nguvu ya sukari kutkana upungufu wa inslin.

~ Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.

~ Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole. Pai miguu kuoza na hata kupata gangrini.

~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu. Hii hutokana na udhaifu wa sukari mwili huweza kuharibu mishipa midogo ya dmu inayolisha neva hiyo kusabisabishahali ya gazi mikononi.

~ Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.



TIBA YA KISUKARI KWA KUTUMIA CRYSTAL CELL

Crystal Cell ni product yenye viini vya seli shina kutoka kwenye mimea ambayo huingia mwili na kuchochea seli shian za mwili. Kazi ya crystal cell kwa mgonjwa wa Kisukari ni kuchochea uzalishaji na kuzisisimua seli katika kongosho kitendo kinachofanya uzalishwaji wa insulini kuongezeka.crystal huenda kuchcohcea uzalishaji wa seli beta kwa ajili ya kuzalisha insulin.
Crysatal cell huwezesha kupunguza kiasi cha mafuta mazitokatika damu na hata kuthibiti kolesto.Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.


Ugonjwa wa kisukari umeitwa kwa kufaa "ugonjwa unaoathiri kiini cha nishati ya mwili" Mwili unaposhindwa kutumia glukosi, mifumo mbalimbali ya mwili inaweza kuacha kufanya kazi au hata kusababisha kifo. Crystal cell huenda kuboresha na kurutubisha utendaji kazi wa homoni ya insulin katika mwili wa binadamu. Insulin ina kazi ya kuondoa glucosi katika damu na kuingiza katika misuli, seli za mafuta na ini, ambako hutumika kama nishati. Pia huimarisha kinga mwili kwa kurutubisha na kuwezesha cell nyeupe kujiongeza.
Crystal seli inauwezo wa kuviamsha upya vimegenya katika figo na ini amabazo husila katika kumengenya wanga nakuurudisha katika hali yake ya kawaida na hivyo husaidia kutibu sukari. Wagonjwa wa sukari huwa wana tatizo la kuwa na uwezo mdogo kudhibiti na kuchujaji wa sumu inayotokana na kemikali za baadhi ya vyakula (food borne chemical toxins)mwilini jambo amabalo hupelekea seli zao za mwili kufa katika kiwango kingi. Crystal cell inauwezo wa kukarabati na kuzalisha seli muhimu katika figo na ini.
CRYSTAL CELL KIBOKO YA MAGONJWA SUGU.
Kwa maelezo zaidi wasiliana
whatapp 0682315816


cystall  cell.jpg
 
Back
Top Bottom