Dawa mbadala za Ugonjwa wa kisukari Ni UTAPELI MTUPU.

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
981
Points
1,000

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2012
981 1,000
Hello JF members.
Nimeona Leo nitoe yangu machache kuhusu watu wanaotangaza kwamba wanatibu Ugonjwa wa kisukari aina ya Pili ukweli Ni kwamba Ni uongo .Nina mgonjwa wa kisukari ameshazunguka Tanzania nzima kutafuta dawa mbadala na ameshakunywa karibu debe kumi na Moja za dawa za kienyeji hamna kupona ,achilia mbali hizo za kuweka kwenye chai ,Kongosho likishaharibika halina tena uwezo wa kutoa Ile hormone ya insulin. Hata uende USA ,EUROPE , ASIA hamna dawa za kuponyesha ,ila Kuna hizi za metrofomin na hizi insulin za sindano zinasaidia sana ,
Ushauri wangu Kwa mgonjwa wa kisukari .
Afuate masharti anayoambiwa na Dr wake kuhusu huu Ugonjwa usiacha dawa zako za hospital utumie za mitishamba ,
Bila kusahau kufanya mazoezi ,kula mboga za majani Kwa wingi sana Maji mengi ,usile sembe kula Dona.usile mchele mweupe kula brown rice ,mkate kula brown bread ,kisusio na supu yenye mafuta mengi sio nzuri kwani inakinzana hii hormone ya insulin kufanya kazi .Beer Ni noma Kwa mwenye kisukari ,Ni hayo tuu niliyo nayo MWENYEWE KUONGEZEA KARIBUNI SANA .
 
Joined
Feb 5, 2018
Messages
94
Points
225
Joined Feb 5, 2018
94 225

Mkuu umeleta uzi mzuri kwa yale yalokukuta kwa mgonjwa wako, kwanza pole sanaa kwa kuhangaika kumuuguza mgonjwa na kupambana kutafuta dawa mbalimbali, pia kwa kukuonea huruma nakupa hii kama ofa kwako njoo ofisini kwetu tuzungumze nitakupatia dawa akatumie mgonjwa wako na utalipia baada ya kupona , kama utakua tayari kwa hilo unaweza wasiliana nami Kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550

NOTE: OFA HII NIKWAKO TUU ASIJE AKANITAFUTA MWIGINE ASIEKUA WEWE
 
Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
24,606
Points
2,000

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
24,606 2,000
Mkuu umeleta uzi mzuri kwa yale yalokukuta kwa mgonjwa wako, kwanza pole sanaa kwa kuhangaika kumuuguza mgonjwa na kupambana kutafuta dawa mbalimbali, pia kwa kukuonea huruma nakupa hii kama ofa kwako njoo ofisini kwetu tuzungumze nitakupatia dawa akatumie mgonjwa wako na utalipia baada ya kupona , kama utakua tayari kwa hilo unaweza wasiliana nami Kwa kunipigia simu ama what's app +255 655 821 550

NOTE: OFA HII NIKWAKO TUU ASIJE AKANITAFUTA MWIGINE ASIEKUA WEWE
Namm naitaka hii offer
 
ivunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
1,569
Points
2,000

ivunya

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
1,569 2,000
Tatizo lenu ni ili Mnataka matokeo ya haraka lazima utaibiwa Tambuwa, huo ugonjwa wa Kisukari mpaka Kuja kugundulika ujuwe umeanza miaka mingi iliyopita.
Sishangai magonjwa wako kuto kupona kwa hivyo vyakula unavyompa.
Kama unataka kujuwa vyakula salam kwa magonjwa wako na kupata nafuu kuondokana na tatizo la kutumia dawa kila siku ni PM
 
Forum statistics

Threads 1,380,948
Members 525,921
Posts 33,784,200
Top