Dawa iwekwayo kwenye vyandarua vya bure

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nasikia vyandarua ivi vya bure vimewekwa dawa ambayo inalast 5 years.
Inasemekana kama ukifua maji usimwage nje au kwa mimea bali mwaga chooni bse viumbe hai vyaweza zurika.
Kama ni kweli jamani sasa binaadamu ambaye anakitumia usiku inakuwaje.
Na kuna tetesi kuwa ni mpango wa watu weupe kukipoteza kizazi cha kiafrika either kuwa mazezeta ili kupunguza elements za watu kama akina Slaa,Xavery Lwaitama,Shivji,Ulimwengu,Warioba Sinde etc
On a serious note wife alivichukua viwili mpaka sasa viko store nataka siku nivifue alafu nimwage hayo maji kwenye majani walai memea ikikauka wizara ya afya wataanda majibu ya izi tuhuma
 
Acha habari za kutishia watu.hiyo dawa iko kwenye kundi la pyrethroids,haijaanza kutumika leo au jana,kwa taarifa yako almosta all insectcides ambazo zipo mtaani(NGAO Included) zinacontain hiyo dawa.sasa inashangaza unapokuja na tuhuma zisizo na uthibitisho.

"Wazungu wakikuona kichwa wanakuchukua hawakuui"
 
Back
Top Bottom