Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

jamani mwenye msaada wa kujua ipi ni dawa sahihi ya vidonda vya tumbo.
Mkuu Vidonda vya Tumbo Vinatibika kwa dawa za asili. lakini ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa H-Pylori itakuwa ni vigumu kupona maradhi yako kwa dawa za hospitali sio rahisi kupona. . Lakini usipo pona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia maradhi yako upate kupona.
 
Habari, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwenye kufahamu Tina au ushauri natanguliza shukrani
1. Pick up unripe papaya and wash it.
2. Do not peel or remove the seeds.
3. After carefully cleaning the outside, slices into pieces without peeling it.
4. The cut should be small like pieces of sugar. Put all the small pieces of papaya in a clean container.
5. Fill the container with water to stop at the same point as the sliced papaya has stopped.
6. Leave the papaya in the water for four days. For example, if you soak on a Monday, counting Tuesday, Wednesday, Thursday and Friday will be the fourth day.
7. On the fourth day, the water will be white, like palm wine, filter the water discard the papaya and the water becomes your cure for the ulcer.

DOSAGE:
Drink half a glass of the papaya water every morning, afternoon and evening. You will not feel these ulcer pain any more, because it will cure the internal wounds which are at the origin of the pain.

This DOSAGE may be continued for weeks or months, depending on the severity of the ulcer.
 
Mkuu Vidonda vya Tumbo Vinatibika lakini ukiwa na Wadudu aka Bacteria wa H-Pylori itakuwa ni vigumu kupona maradhi yako hospitali sio rahisi kupona Vidonda vyako vya tumbo ukiwa na hao wadudu wa H-Pylori. Lakini usipo pona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia maradhi yako upate kupona.

Ulivyofinyanga maneno sasa?
 
Msaada jamani nina vidonda vya tumbo visivyosikia dawa huu ni mwaka sasa yani nawaka moto tumboni na mgongoni nishatumia mpaka heligo kit.

Hospitali nimeambiwa nina gerd hpyrol+ve hiatus hernia duodenal ulcers
 
Pole sana Hakuna Dawa ya Hospitali kukutibu hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo na wala kuwauwa hao wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo aka H-pyrol. Hata kama utatumia dawa kw amuda mwaka mzima sio rahisi kupona maradhi yako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole .
 
Pole sana Hakuna Dawa ya Hospitali kukutibu hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo na wala kuwauwa hao wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo aka H-pyrol. Hata kama utatumia dawa kw amuda mwaka mzima sio rahisi kupona maradhi yako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguw apole .
Unapatikana wapi kaka yangu vidonda vya tumbo vina mtesa
 
Pole sana Hakuna Dawa ya Hospitali kukutibu hayo maradhi yako ya vidonda vya tumbo na wala kuwauwa hao wadudu wanaosababisha vidonda vya tumbo aka H-pyrol. Hata kama utatumia dawa kw amuda mwaka mzima sio rahisi kupona maradhi yako. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguw apole .
Umeshaiona fursa mkubwa
 
Msaada jamani nina vidonda vya tumbo visivyosikia dawa huu ni mwaka sasa yani nawaka moto tumboni na mgongoni nishatumia mpaka heligo kit.

Hospitali nimeambiwa nina gerd hpyrol+ve hiatus hernia duodenal ulcers
Anza clinic Muhimbili wewe matatizo yako ni makubwa Hiatus Hernia tu yenyewe kama yenyewe ni risk ya kupata vidonda.

Unaitaji uonane na daktari Mbobezi
N:B Mbobezi sio Bingwa
 
Anza clinic Muhimbili wewe matatizo yako ni makubwa Hiatus Hernia tu yenyewe kama yenyewe ni risk ya kupata vidonda.

Unaitaji uonane na daktari Mbobezi
N:B Mbobezi sio Bingwa
Ndo nimeanzia huko wanasema hawawez kunifanyia op coz ni har ya maumbile tu na hata wakinifanyia itarudi napewa ppi toka mwaka jana mpka nachoka kumeza
 
kwanini usiseme hapa hapa na wengine wakasaidika
kuna wakat comments huwa nyingi hadi unahis mwenye uhitaj hataisoma. kuna wakat hoja inahusu afya unaona kuna watu wana mzaha. hilo tu hufanya utumie pm kwa watu serious. ingawa hoja yako ina mashiko na mi hupenda hivyo. uzuri sina dawa ya kuuza bali kuelekeza
 
Back
Top Bottom