Dawa hii ya kutuliza maumivu inaua maelfu kila mwaka

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
ibuprofenalternatives.jpg

Matumizi ya mda mrefu ya dozi za kutuliza maumivu kama vile ibuprofen au diclofenac ina madhara katika suala la shambulio la moyo kama vile matumizi ya madawa ya Vioxx ambayo yalizuiwa kutumika kutokana na hatari kubwa zilizonazo- Utafiti ulisema

Kuna wakati unaweza kuwa unajisikia vibaya na maumivu katika mwili,kipindi hiki mtu anaanza kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa maumivu-badala ya kufikiria njia nzuri ya afya, tunajikuta tunaenda kwenye maduka ya dawa na kununua dawa za kutuliza maumivu bila hata ya ushauri wowote wa daktari
Unajua nini madhara yake-kama unapenda kutumia dawa za kutuliza maumivu mara kwa mara,sio tu maumivu unayokwenda kuyatuliza

Kama ukitumia dawa inayoitwa Ibuprofen,kama tulivyoielezea, wanasayansi wanaihusisha na
petrochemical ambayo ni hatari sana kwa kukuletea mashambulio ya moyo au ugonjwa wa moyo na uwezekano mkubwa wa kukusababishia kifo (kama ukitumia pamoja na aspirin),ukitumia dozi mbili kuna madhara makubwa ya afya unayoweza kuyapata;
-Upungufu wa damu
-Uharibifu wa DNA
-Kutosikia vizuri
-Shinikizo la damu
-Vifo kwa kupata mafua
-Kuharibika kwa mimba

Kama Ibuprofen,pia madawa mengine ya NSAIDS(non-steroidal anti-inflammatory drugs) yana matokeo mabaya na yanaweza kukuletea magonjwa ya moyo na vifo

chanzo.Dawa hii ya kutuliza maumivu inaua maelfu kila mwaka - Kwetustar
 
dozi za kutuliza maumivu kama vile ibuprofen au diclofenac ina madhara katika suala la shambulio la moyo
halafu kama lugha ina nishinda kuelewa.. hasa umoja na uwingi..
kwamba IBUPROFEN inataka kuwa na jina lingine la DICLOPHENAC,

kwa sababu najua ni dawa tofauti ila zote ni NSAIDS.
 
halafu kama lugha ina nishinda kuelewa.. hasa umoja na uwingi..
kwamba IBUPROFEN inataka kuwa na jina lingine la DICLOPHENAC,

kwa sababu najua ni dawa tofauti ila zote ni NSAIDS.
Kwa ufupia dawa zote za Hospitali zina madhara makubwa sana kwa afya ya binadamu. Zina faida yake ni ndogo kuliko madhara yake. Dawa nzuri za kutumia ni Dawa za Mbadala dawa za mitishamba ndio ni dawa nzuri hazina madhara kwa afya ya binadamu. Tumia dawa hizo kwenye Picha hapo chini hazina madhara kwa afya ya binadamu usitumie hizo dawa zenu za Hospitali ni Sumu tupu.

Natural Health Synergy.jpg
 
Kwa ufupia dawa zote za Hospitali zina madhara makubwa sana kwa fya ya binadamu. Zina faida yake ni ndogo kuliko madhara yake. Dawa nzuri za kutumia ni Dawa za Mbadala dawa za mitishamba ndio ni dawa nzuri hazina amdhara kwa afya ya binadamu. Tumia dawa hizo kwenye Picha hapo chini hazina madhara kwa afya ya binadamu usitumie hizo dawa zenu za Hospitali ni Sumu tupu.

View attachment 368917
mkuu umenena mm jana mchana nilisikia uchomvu sana sasa nilikua na dicroper nikameza moja nilipitiwa na usingizi jion nilihis maleria nilipoenda dispenser nikaomba kuangalia BP nikakuta ipo 160
 
mziz mkavu nisaidie dawa yoyote ya kienyeji maana tumbo linajaa gesi sana natokwa tuu na ushuzi mwishowe mwili unachoka mpaka presha inapanda nahisi mmengenyo wa chakula ni mbovu sana kwangu yaani nina mwaka nateseka sana
 
mkuu umenena mm jana mchana nilisikia uchomvu sana sasa nilikua na dicroper nikameza moja nilipitiwa na usingizi jion nilihis maleria nilipoenda dispenser nikaomba kuangalia BP nikakuta ipo 160
Mkuu na unge liendelea kutumia hiyo dawa ya dicroper ungelikufa kwa BP ilizidi mwilini mwako mpaka kufika BP 160? Pole sanasiku ingine ukiw ana BP ipo juu usipate tabu ya kula ma-vidonge wewe Chemsha kipande kimoja kikubwa cha Tangawizi mbichi chemsha na maji glasi 3 kwa muda wa dakika 15 kisha kunywa kikombe kimoja kwa siku mara 3 BP utaisikia redioni au kwenye TV utapona haraka sana hiyo High Blood Pressure aka BK.

Take Ginger And Say Good Bye To High Blood Pressure Once And For All!.jpg
 
Mkuu na unge liendelea kutumia hiyo dawa ya dicroper ungelikufa kwa BP ilizidi mwilini mwako mpaka kufika BP 160? Pole sanasiku ingine ukiw ana BP ipo juu usipate tabu ya kula ma-vidonge wewe Chemsha kipande kimoja kikubwa cha Tangawizi mbichi chemsha na maji glasi 3 kwa muda wa dakika 15 kisha kunywa kikombe kimoja kwa siku mara 3 BP utaisikia redioni au kwenye TV utapona haraka sana hiyo High Blood Pressure aka BK.

View attachment 368925
nashukuru mkuu vp tumbo kujaa ges
 
mziz mkavu nisaidie dawa yoyote ya kienyeji maana tumbo linajaa gesi sana natokwa tuu na ushuzi mwishowe mwili unachoka mpaka presha inapanda nahisi mmengenyo wa chakula ni mbovu sana kwangu yaani nina mwaka nateseka sana
GESI TUMBONI (COLIC): Ikiwa mtu atakula kwa wingi vyakula vinavyoleta gesi halafu vyakula hivyo visisagike vizuri tumboni, hukusanya gesi tumboni na kufanya mingurumo humo na kumsababishia maumivu, humkosesha mtu utulivu na kumfanya kutoka jasho na machovu bila ya kufanya kazi. Mtu hujisikia mara kwa mara aende haja kubwa na akienda hapati choo. Pia humsababishia mtu kuumwa kwa mgongo au kiuno. Ikiwa gesi hii itakosa kutoka kwa njia ya haja kubwa, basi yaweza kupanda juu na kufanya presha sehemu au karibu ya moyo na kusababisha maumivu ya moyo.

TIBA: Chukua asali robo lita , unga wa Arkisusi (Licorice Root) vijiko vitatu vikubwa na unga wa habat soda vijiko viwili vikubwa. Koroga zote pamoja kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto halafu yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili asubuhi na jioni. Dawa nenda katafute kwenye maduka ya dawa za kisuna uliz autapata.

LICORICE ROOT.jpg

ArkiSusi (Licorice Root)

habbat sawda.png

Habat Soda (Black seed)
 
View attachment 368927
ArkiSusi (Licorice Root)

View attachment 368929
Habat Soda (Black seed)
mzizi mkavu naweza kukupata wapi nikapata ushauri wako maana hili tatizo limekua sugu nimetumia kila dawa Bila unafuu ges inasumbua adi tendo la ndoa limekua shida na nahis ndiyo linafanya presha inapanda
 
kazi njema mkuu kutukumbusha.. ila nadhan ungetaja na faida zake au mbadala wa dawa hizo tukiwa na maumivu.
14 Natural Alternatives to Ibuprofen More Effective Than The Painkiller

Ibuprofen is an anti – inflammatory non – steroidal drug that is often connected to serious health problems and deaths. The risk of heart attacks is significantly increased in cases where the patients use it for a long period of time.

14 Natural Alternatives to Ibuprofen More Effective Than The Painkiller.jpg

Researchers said that long – term high – dose use of painkillers such as diclofenac or ibuprofen is ‘equally hazardous’ in terms of heart attack risk as use of the drug which was withdrawn due to its potential dangers, Vioxx.

Some of the serious health effects of using ibuprofen in the long run include high blood pressure, DNA structure damage, miscarriage, hearing loss, etc. It is good to point out that there are substitutions for ibuprofen that are less risky. People don’t have to take pills every time they feel headaches or pain in their muscles.

14 Natural and Efficient Alternatives to Ibuprofen

Capsaicin

Capsaicin is an active ingredient found in cayenne pepper. When it is used externally as a gel or cream it can become a powerful painkiller. You can also stop a heart attack in a minute using cayenne pepper, in case you didn’t know.

Panax ginseng

This is another natural remedy used for arthritis. Thank to its anti-inflammatory and analgesic properties it can reduce the pain in the bones.

Sandalwood oil

This oil is especially helpful in cases of muscle spasms.

Cat’s claw

This herb can be found in South and Central American jungles includes an anti – inflammatory agent in its structure.

Olive oil

Olive oil has strong anti – inflammatory properties that can be compared to those found in ibuprofen.

Boswellia

It is another herb native in India. The acid of this herb helps people suffering from inflammation and improves the blood flow.

White willow bark

White willow bark is a strong natural painkiller. And osteoarthritis doesn’t have to be treated only with specially designed pills like ibuprofen, because herbs like this can help too.

John’s wort

St. John’s wort is much more effective than ibuprofen when it is used as a painkiller.

Fish oil

It is a well – known fact that fish oil can help with osteoporosis and arthritis because of its anti – inflammatory properties.

Curcumin

One of the most important ingredients found in turmeric is curcumin. This herb comes from India and it is known for centuries for its antiviral, antioxidant, anti – inflammatory and antifungal properties.

Topical arnica

This herb that naturally grows in Europe is especially useful for cases of osteoarthritis. Even more, it comes with fewer side effects.

Ginger

Ginger was used since ancient times in cases of PMS pain. All you need is a 250 mg capsule and the aches and pain related to PMS will be gone. This capsule should be taken 4 times a day.

Holy Basil

Holy Basil can be as effective as ibuprofen, when it comes to inflammation.

Omega 3 - fatty acids

These acids have strong healing properties and they can help patients suffering from arthritis.

Source: blogs.naturalnews.com
Soure.14 Natural Alternatives to Ibuprofen More Effective Than The Painkiller - Healthy and Natural Life
 
Ndugu kawetele,lbuprofen na diclophenac,zote zinashuhulika na tatizo moja ila ni dawa 2 tofauti.
duuh, nafikiri hata hujanielewa nilichouliza kwa huyu mtaalamu wa mitishamba. soma vizuri bandiko langu.

kukujuza tu nazifahamu hizo dawa mpaka chemical formula yake na mechanism of action.
 
Kipi bora kati ya kuchemsha magome ya mti wa Cinchona na kunywa na kuchomwa quinine ?
 
Vinegar
Mkuu na unge liendelea kutumia hiyo dawa ya dicroper ungelikufa kwa BP ilizidi mwilini mwako mpaka kufika BP 160? Pole sanasiku ingine ukiw ana BP ipo juu usipate tabu ya kula ma-vidonge wewe Chemsha kipande kimoja kikubwa cha Tangawizi mbichi chemsha na maji glasi 3 kwa muda wa dakika 15 kisha kunywa kikombe kimoja kwa siku mara 3 BP utaisikia redioni au kwenye TV utapona haraka sana hiyo High Blood Pressure aka BK.

View attachment 368925
Dr, hivi akinywa Vinegar inaweza kumsaidiaVinegar
 
Back
Top Bottom