Dawa gani nzuri ya kuondoa uchafu sugu kwenye sink?

kidawisee

Senior Member
Feb 27, 2020
143
212
Habari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma.

CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki, yalikaa muda kama week mbili, nilivyorudi nasafisha paweka weusi, Ndio naangaika kuutoa umegoma, msaada anayejua.

1620826189194.png

Jaribu kuchukua white vinegar changanya na baking powder and then chukua toilet paper loweka huo mchanganyiko halafu bandika sehemu yenye rangi au sink lote iache usku kucha mpaka asubuhi then sugua inaweza kukusaidia.
 
Chukua Pepsi ya baridi mwaga juu harafu subir dakika 20 then sugua na sabuni kwisha simpo
 
Habari za muda huu, naomba kujua njia za kusafisha sinki langu, nmetumia Aro imegoma, nimetumia sabuni zaidi ya 3, nimetumia cocacola imegoma.

CHANZO: Manjano ya uso yalimwagika sehemu ya sinki, yalikaa muda kama week mbili, nilivyorudi nasafisha paweka weusi, Ndio naangaika kuutoa umegoma, msaada anayejua.

Tumia dawa ya mswaki
 
Back
Top Bottom