Davos: World Economic Forum Annual Meeting

*ANGALIA HUMU KAMA TUMO*
Top political leaders taking part are: Ueli Maurer, President of the Swiss Confederation 2019 and Federal Councillor of Finance of Switzerland; Shinzo Abe, Prime Minister of Japan; Jair Bolsonaro, President of Brazil; Angela Merkel, Federal Chancellor of Germany; Wang Qishan, Vice-President of the People’s Republic of China; Giuseppe Conte, Prime Minister of Italy; Pedro Sanchez, Prime Minister of Spain; Barham Salih, President of Iraq; Mohammad Ashraf Ghani, President of the Islamic Republic of Afghanistan; Sebastian Kurz, Federal Chancellor of Austria; Ivan Duque, President of Colombia; Abiy Ahmed, Prime Minster of Ethiopia; Leo Varadkar, Taoiseach of the Republic of Ireland; Benjamin Netanyahu, Prime Minister of Israel; Faiez Al Serrag, Prime Minister of Libya; Mark Rutte, Prime Minister of the Netherlands; Jacinda Ardern, Prime Minister of New Zealand; Erna Solberg, Prime Minister of Norway; Rami Hamdallah, Prime Minister of the Palestinian National Authority; Martin Alberto Vizcarra Cornejo, President of Peru; Paul Kagame, President of Rwanda; Cyril M. Ramaphosa, Prime Minister of South Africa; Yoweri Kaguta Museveni, President of Uganda; Nguyen Xuan Phuc, Prime Minister of Viet Nam; and Emmerson Mnangagwa, President of Zimbabwe.
 
Kuanzia kesho Januari 22, 2019 hadi Ijumaa tarehe 25, viongozi mbalimbali kutoka jumuia ya kimataifa, viongozi wa kiserikali, viongozi wa taasisi zisizo za kiserikali, viongozi watendaji wa mashirika makubwa duniani, wanasayansi, na watu wengine wa kila aina ya kada watakutana huko Davos, Switzerland katika mkutano wa mwaka wa jukwaa hilo la kiuchumi duniani.

Ushiriki wake huwa ni wa kualikwa. Kwa hiyo kama hujaalikwa, huwezi ukajipeleka tu na kushiriki.

Kipindi cha awamu ya tatu na nne, marais wetu walishiriki shiriki kiasi chake.

Niliwahi kumwona Benjamin Mkapa kwenye moja ya hiyo mikutano. Pia Jakaya Kikwete alikuwa akishiriki.

Lakini tokea awamu ya 5 iingie madarakani, sijawahi kumwona mwakilishi yeyote yule kutoka serikali ya Tanzania.

Kwa mwaka huu sijui kama tutawakilishwa tena.

Ingependeza kama nasi tungekuwa na mwakilishi wetu huko Davos.

Wewe mwananchi unaonaje? Funguka...
Angeenda magu ila shida lugha haipandi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E/Africa itawakilishwa na Kagame na M7.

"Yatoshaga".
 
Kuanzia kesho Januari 22, 2019 hadi Ijumaa tarehe 25, viongozi mbalimbali kutoka jumuia ya kimataifa, viongozi wa kiserikali, viongozi wa taasisi zisizo za kiserikali, viongozi watendaji wa mashirika makubwa duniani, wanasayansi, na watu wengine wa kila aina ya kada watakutana huko Davos, Switzerland katika mkutano wa mwaka wa jukwaa hilo la kiuchumi duniani.

Ushiriki wake huwa ni wa kualikwa. Kwa hiyo kama hujaalikwa, huwezi ukajipeleka tu na kushiriki.

Kipindi cha awamu ya tatu na nne, marais wetu walishiriki shiriki kiasi chake.

Niliwahi kumwona Benjamin Mkapa kwenye moja ya hiyo mikutano. Pia Jakaya Kikwete alikuwa akishiriki.

Lakini tokea awamu ya 5 iingie madarakani, sijawahi kumwona mwakilishi yeyote yule kutoka serikali ya Tanzania.

Kwa mwaka huu sijui kama tutawakilishwa tena.

Ingependeza kama nasi tungekuwa na mwakilishi wetu huko Davos.

Wewe mwananchi unaonaje? Funguka...
Wewe Nyani husomeki mara huku mara kule tofauti yako na mwanamke malaya hakuna
 
Basi aje aende jiwe himself.hapo unasemaje nyani?
Hahahaha jiwe kiingereza kinamshinda ataweza wapi kuzungumza na watu waliobobea diplomasia ya kimataifa

Magufuli hajui hata kijenga hoja anaanzaje kuzungumza na watu hao

Magufuli yeye anajua kujenga hoja kwa risasi, sasa huko hakuna akina Mbowe wala Lissu atawezaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom