Davos: World Economic Forum Annual Meeting

Kwa hio kwa hii miaka yote aliyokaa madarakani,Magu hajawahi kuona mkutano wa maana huko mambele sio?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Probably Yes, si tunaona hawaendi. Wanabana matumizi si mnaona dreamliner hizo ,madaraja, reli ya kisasa na mengi yajayo yatakayofurahisha.
 
Kuanzia kesho Januari 22, 2019 hadi Ijumaa tarehe 25, viongozi mbalimbali kutoka jumuia ya kimataifa, viongozi wa kiserikali, viongozi wa taasisi zisizo za kiserikali, viongozi watendaji wa mashirika makubwa duniani, wanasayansi, na watu wengine wa kila aina ya kada watakutana huko Davos, Switzerland katika mkutano wa mwaka wa jukwaa hilo la kiuchumi duniani.

Ushiriki wake huwa ni wa kualikwa. Kwa hiyo kama hujaalikwa, huwezi ukajipeleka tu na kushiriki.

Kipindi cha awamu ya tatu na nne, marais wetu walishiriki shiriki kiasi chake.

Niliwahi kumwona Benjamin Mkapa kwenye moja ya hiyo mikutano. Pia Jakaya Kikwete alikuwa akishiriki.

Lakini tokea awamu ya 5 iingie madarakani, sijawahi kumwona mwakilishi yeyote yule kutoka serikali ya Tanzania.

Kwa mwaka huu sijui kama tutawakilishwa tena.

Ingependeza kama nasi tungekuwa na mwakilishi wetu huko Davos.

Wewe mwananchi unaonaje? Funguka...
Jiwe atakwenda kuwasilisha maswala ya intaprenywaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka jana tu ndo hawakwenda, Dr Mahiga alikuwa invited sema akawa na shughuli zingine, tusubiri tuone kama na mwaka huu wana priorities zingine. Kualikwa wanaalikwa sema wanakuwa na majukumu mengine.

Kwa hiyo 2017 walienda?
 
Jamani! Kwani lazima ualikwe? Aslong as inajulikana kua tarehe tajwa ni siku ya kidunia kujumuika kwa ajili ya biashara na uchumi sio lazima ualikwe ndo huendi( dalili za kiburi)

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Kuanzia kesho Januari 22, 2019 hadi Ijumaa tarehe 25, viongozi mbalimbali kutoka jumuia ya kimataifa, viongozi wa kiserikali, viongozi wa taasisi zisizo za kiserikali, viongozi watendaji wa mashirika makubwa duniani, wanasayansi, na watu wengine wa kila aina ya kada watakutana huko Davos, Switzerland katika mkutano wa mwaka wa jukwaa hilo la kiuchumi duniani.

Ushiriki wake huwa ni wa kualikwa. Kwa hiyo kama hujaalikwa, huwezi ukajipeleka tu na kushiriki.

Kipindi cha awamu ya tatu na nne, marais wetu walishiriki shiriki kiasi chake.

Niliwahi kumwona Benjamin Mkapa kwenye moja ya hiyo mikutano. Pia Jakaya Kikwete alikuwa akishiriki.

Lakini tokea awamu ya 5 iingie madarakani, sijawahi kumwona mwakilishi yeyote yule kutoka serikali ya Tanzania.

Kwa mwaka huu sijui kama tutawakilishwa tena.

Ingependeza kama nasi tungekuwa na mwakilishi wetu huko Davos.

Wewe mwananchi unaonaje? Funguka...
hivi wewe c ndio Yule nyani uliyekuwa unatamba humu jf mpk jina la nyani ngaaa.... likawa brand kubwa jf

ila baada yakujinasibisha na makijani brand ya Nyani ngaaa... Imekufilia mbaali

Sasa unatuuliza cc Nani atashiriki au awamu Hii ya tano hawashiriki haituhusu kawaulize MA nyani ngaaa.. Wenzako lumumba cc tunajua dhida ung'eng'e shida yai

kwa bahati mbaya siku hizi Nyuzi zako hatuzisomi

Pole nyani ngaaa... Umefuliaaaaaa

Watu hatushtuki tenaaaa tukiona jina nyani nga.....
 
Kama nyuzi zangu hamzisomi [sijui hamzisomi na nani], wewe hapa umefikaje?
 
Back
Top Bottom