DAVOS East _West dialogue doc

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Wazee, nimeona bora nishare nayi hii document iliyokuwa produced na The Davos Worldwide Economic Forum ...it is a very interesting document inayozungumzia mambo ya Geop-Politics na zaidi ya yote lets say in itwa Annual Report on the State of Dialogue between East and West. It's long and has many contributors - Muslim, Christian, Jewish etc. Sorry it's in PDF

[media]http://www.weforum.org/pdf/C100/Islam_West.pdf[/media]

Lakini kama kuna watu wako tayari then we can always have the disucssion on the subject hapa for a change.Na zaidi nadhani ni vizuri tukaangalia umuhimu wetu kama waafrica in this so called EAST v/s WEST clash...personally nadhani wa kumlaumu ni Samuel Huntingdon alipokuja na ile thesis yake ya Clash Of Civilizations na bila kumsahau Fransis Fukuyama na ile End of History thesis, but anyway kama nilivyosema we should have an open discussion

-Peace
 
Sidhani kama muda huo tunao, haya ma dossier ya Dr Slaa yanachukua most of our time...
 
Nimesoma title inasema hivi:

Islam and the West:
Annual Report on the State of Dialogue
January 2008​

Ni document ndefu yenye page takriban 150. Ingawa sijaisoma yote, naiona kama vile inahusu dini ya Kiislam zaid kiasi kuwa ingekuwa vizuri kama ungeiweka kule kwenye folder ya dini.
 
Haya ndio matatizo ya JF ya 2008

whujaisoma na nashangaa usharukia ipelekwe kwenye dini. Look man this is about WORLD POLITICS na hiyo document haijawa produces na viongozi wa kidini pekee

But then again how can i blame you while ushakiri kuwa hujaisoma

Mbona umejikanganja.

(a) Nimekuambia kuwa hii document inahusu Uislamu katika nchi za Magharibi. Uislamu ni dini; kuna nchi kadhaa ambazo dini ni sehemu ya politics. Hapa Jambo Forum, dini siyo sehemu ya politics kwa hiyo ndiyo maana nilishauri uipeleke kwenye dini. Kama kila mjadala wa uislamu katika sehemu za magharibi tutaufanya ni sehemu ya politics, then tutakuwa na a very thin line inayotenganisha dini na siasa.

(b) Kama hunilaumu kwa vile unajua kuwa sijaisoma yote (mpaka sasa niko ukurasa wa 43 na naenda kulala), kwa nini ulikurupuka na jibu hilo la kusema haya ndiyo matatizo ya JF ya 2008? Mimi niko hapa forum tangu zamani sana. Kiustaarabu, kama ulijua kuwa inawezekana sijaipata yote ungenishauri niisome yote kwanza kabla ya kutoa comment kuliko kutoa hizi sweeping statements ambazo hazina msingi wowote; eti hayo ndiyo matatizo ya JF ya mwaka 2008.

Je kwa mantiki yako , unadhani kuwa mijadala ya mambo yote inayohusu uislamu katika nchi za Magharibi kama haya hapa yote utataka tuifanye kuwa sehemu politics hapa ya Jambo Forum; Please.
 
Mmmmh..... Tunarudi kule kule!!

dwe8wj.gif
 
Back
Top Bottom