brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Mwanamuzi Davido amempiga chini Manager wake wa Siku nyingi Kamal Ajiboye na kuamua kujisimamia mwenyewe.
Kupitia Snap chaty Davido alitoa taarifa hizo tangu asaini dili ya bilioni 4 na Sony music Davido amekuwa na changamoto nyingi kwenye music na akionekana ni mtu alie na frustration katika kazi zake za music, Davido anasema hataki tena habari za kwenda international.
Kamal ndiye amekuwa akimsaidia Davido kwenye issue zote za kimataifa ikiwemo kumtafutia collabo yake na Meek Mill. Pia ndiye aliyekuwa akizungumza na Sallam, kipindi Diamond anataka kumshirikisha kwenye remix ya Number One.