Davido ajutia kufanya kazi na Sonny

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
368
2,511
1467488116887.jpg
 
Alikurupuka! Alizuzuka na jina kubwa bila kuangalia mbali... Watu tukisema tunaonekana haters lakini ukweli uko wazi Sony hawajahi kuwa msaada kwa wasanii wala mziki wa Africa!!
Tusubiri siku si nyingi 'Kingi' nae ataanza kulalama..
 
Kwa wasanii wa Africa si Sony tu hata kampuni yoyote ya nje ya Africa haijawahi kuwa msaada kwao, kwanza hawawapi kipaumbele, pili hawalijui vizuri soko na wala hawajishughulishi kulijua soko la Africa. Yule jamaa yetu ataugulia ndani kwa ndani kwa vile ataona aibu kulia hadharani kwa sababu ya mbwembwe walizokuja nazo,maana wamehisi kama wamesainiwa na Mungu kuwa hawatachomwa moto.
 
Hawa SONY si wabaki tu kutengeneza redio na vifaa vingine!Management ya muzik kwao ni ziro tu.Rose mhando naye yalimshinda.
 
Issue ni amesaini mkataba wa aina gani, km ni hadi album itoke kwa baraka za sony hilo ni tatizo ila navyoskia kwa kiba ni kwamba wao kazi yao ni kusambaza mziki wa kiba (promo) nyimbo anatoa kiba mwenyewe alafu sony wanasambaza kazi zake, km inavyoonekana sasa nyimbo zote za kiba ziko itune na mitandao mingine ya kuuza nyimbo so kwa kiba km nikweli wasemalo basi hakuna hasara atakayopata. Ni mawazo yangu tu
 
Ni changamoto tu za biashara na kazi.
Atajua jinsi ya kufanya itakapobidi sababu ni yeye mwimbaji. Msimseme vibaya..kwa kiwivu qay.. kila kitu kina wakati. Hakuna lililonyooka kihivyooooo, ni kujifunza pia kuzidi kuendelea.
 
Yalisemwa hapa! Team Kiba wakaona ni chuki tu, naona wanasoma kimya kimya!
 
Back
Top Bottom