David Mwakyusa na maswali ya rejareja

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nemshanga tena huyu ni Profesa David Mwakyusa kusema eti vyama visivyo shinda chaguzi zozote nibora vifutwe!
Namimi nauliza kuna haja gani ya kuwepo bungeni mtu ambaye alishakuwa Waziri Kamili anaongoza Wizara na akashindwa kuendesha Wizara sinibora akavuliwa hata uanachama ili naubunge aukose! Mtu kama huyu ni mzigo kwa ccm.
 
Huyu mzee bwn kuna vijana wanatoka jimboni kwake, wanasoma UDOM walimuomba msaada aliwatolea nje.
 
Huyu mzee bwn kuna vijana wanatoka jimboni kwake, wanasoma UDOM walimuomba msaada aliwatolea nje.
Huyu ni mzigo kwa wana-CCM kwani hana msaada wowote wamembeba habebeki!
 
Back
Top Bottom