mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,169
Mdau nimetoa kamfano tu kwa Ndg Mangula nina maanisha ila tukubali tukatae hata kama Ndg Mabula alikuwa na mapungufu yake lakini aliifanya ile kazi kwa moyo na kwa ufanisi tofauti na sasa hakuna ubunifu wamrudishe tu kwa kweli aje alete mwelekeo naona hawa wapo kiofisi zaidi kutatua kero za wananchi ziro.Naona unampigia chapuo, huna maslahi binafsi kweli.
Pili; Ungekuja na hoja inayoshawishi na siyo kulinganisha mambo ya serikali na ya chama