Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
hivi sasa nnamdikiliza kupitiA CLOUD KWELI JAMAA KICHWA
umaarufu wake ungemfunika wa kikwete kama livyonyamazishwa lowassa na magufuli...ila jamaa alikuwa mchapakazi na mbunifu ila sijui kama alikuwa hapokei mlungula maana behind ukali kunakuwaga na mambo yake especially zama hizi za rushwa...na usishangae ukisikia anagombea ubunge kwa tiketi ya ccm vilevile..
Huyu Mwaibula alifanya kazi ya kusimamia na kubuni njia mbalimbali ili kupunguza foreni na kutumia gharama ndogo kusafiri.Mfano alibuni njia ndefu kama kutoka G'lamboto Ubungo,Mbagala mwenge,n.k.Alikuwa na mikakati mingi mizuri.Je jembe hili limetupwa wapi na mpini wake?
Mie napendekeza kiwango cha chini cha gharama za dala dala kiwe Tshs. 1,000/= probably watanzania mwaweza shtuka kuwa manakopelekwa siko.
Kwa sasa ni vyema mkawa wapole muendelee ku-enjoy "maisha bora kwa kila mdanganyika".
Juzi ewura ulikataa kuongeza umeme na unapunguza bei ya vimiminika na huku Sumatra inaongeza nauli mbona hamkai pamoja mkapanga mkakati wa kunusuru mtanzania.Mfano mdogo nauli umfikirie (DSM) mtu anakaa Gongalamboto anafanya kibarua Bunju na mshahara wake laki moja.je atamudu?Kuna myanya nyingi ya kupata kodi ila ubunifu hakuna mfano :Wizara ya Ardhi-Makazi mengi hayajapimwa na yanafanya biashara hayalipi kodi hadi magorofa yako mabondeni EWURA pamoja na kodi unazokata kuna makandarasi wa umeme na maji hawalipi kodi zako , una mafundi na wahandisi ambao inatakiwa uwasajili na walipe kodink Tafazari muwe wabunifuTrue, mi hata wakiweka buku tano kituo hadi kituo sawa tu, hapo ndio watu watajua CCM sio
me nalia na huduma mbovu za kwenye vyombo vya usafiri,nauli zimepanda lakini mvua ikinyesha upo ndani ya chombo cha usafiri kama upo chin ya MPAPAINimemsikia Mwaibula akiongelea kuhusu ongezeko la nauli za daladala. Kwa maoni yangu naona alikua anafanya siasa kuliko kuangalia hali halisi ya daladala kama biashara. Kwa kumbukumbu yangu Mwaibula sio mtaalam wa usafiri kwa hiyo sio 'authority' kwenye fani hiyo. Ni kweli alikua mwenyekiti wa mamlaka ya leseni mkoa wa DSM lakini tunaojua mengi ya mambo yaliyofanyika kuhusu utaratibu wa njia ulioanzishwa chini yake ilikua ni ushauri wa wataalam.Anaponikera ni pale anapopinga ongezeko la nauli kwa daladala huku akijisifu kwa miaka saba ya uenyekiti wake nauli haikuongozeka bila ya kuelezea kilio cha wenye daladala wakati huo kuhusu kupanda kwa gharama na kiwango duni cha huduma kutokana na wenye daladala kushindwa kuweka magari katika hali nzuri.Dai lake kwamba daladala za route ndefu zinaingiza hela nyingi kwa kushuka na kupanda abiria mara nyingi sio sahihi. Ukifanya utafiti utakuta abiria wanaopanda magari hayo asilimia 75 wanafika mwisho wa safari hivyo kusafirishwa kwa bei ya hasara kabisa.